Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Slovenia and Cyprus acknowledge ICC arrest warrants for Netanyahu and Gallant!

Slovenia will respect arrest warrants issued by the International Criminal Court (ICC) and "will fully comply".

Cyprus looking at ICC arrest warrants, says its decisions are binding
 
Putin na habari ingine hamna nchi yeyote ambayo imesema itamkamata Putin usijiliwaze watu wana dili na Gaidi Netanyahu.
Putin au Netanyahu akikamatwa popote duniani vita vya tatu vya duniania vitaibuka on the spot.
Full stop and I rest my case there 🐒
 
The united states are not members of of the ICC therefore not obligated, what is of interest is the stance of uk and Germany as they are the founding members‼️
😂😂😂😂😂
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

@nadia_bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”


Hamnazo ww wewe unaweza kumkamata mjumbe wa MUNGU YEHOVA, YESU uchunguzwe leta vyanzo vya uhakika
 
Back
Top Bottom