Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

hakuna haja ya kuandikia mate,
wajitokeze kumkamata, hivi karibuni atakua Hungary 🐒
Sasa Hungary ni miongoni mwa mataifa yaliyotangaza wazi kumkamata?

Mbona hueleweki hata unachozungumza mkuu?

Nimesema ajichanganye akanyage mataifa yaliyotangaza kumkamata kama kweli yeye kidume.
 
Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshika
Sikia wewe punguani upo Uyole hujui lolote mabasha zako Marekani na Ulaya wamepambana ICC wasitoe hati ya mashataka imeshindikana ni ushindi Netenyahu kuwa kundi moja na kina
Jean-Pierre Bemba,
Simone Gbagbo, Germain Katanga.
Bosco Ntaganda.😅
 
Unahaha sana kuokoteza vijihabari kwenye mitandao.

Unapata afueni ukivisoma eh?

🤣
Inachekesha viahabari vya kuokoteza na wewe unavisoma 😂

Kinachofuraisha Netanyahu sasa hivi yupo kundi moja na wenzake.

Bosco Ntaganda
Germain Katanga, Jean-Pierre Bemba
Laurent Gbagbo.

Huu ni ushindi tosha.

Trump povu linamtoka huko anataka kuiwekea vikwazo Mahakama😂
 
Sasa Hungary ni miongoni mwa mataifa yaliyotangaza wazi kumkamata?

Mbona hueleweki hata unachozungumza mkuu?

Nimesema ajichanganye akanyage mataifa yaliyotangaza kumkamata kama kweli yeye kidume.
akafanye nini kwenye taifa lililodhaifu na lilioshindwa kama uingereza 🐒
 
unazungumzia makundi?

Sinwar, Haniyeh, Nasrallah, na Deif wanafaidi vibinti 72x4 huko waliko 🤣.

Halafu yule aliyefumuliwa komwe sijui itakuwaje sasa…
 
unazungumzia makundi?

Sinwar, Haniyeh, Nasrallah, na Deif wanafaidi vibinti 72x4 huko waliko 🤣.

Halafu yule aliyefumuliwa komwe sijui itakuwaje sasa…
Wewe ndiyo unaogopa kufa kuuliwa muasisi wa Hamas ndiyo kwanza mapambano yanaendelea nyie walolole ndiyo mnaogoa kufa🤣

Wewe Yahudi jeusi wa Ngudu andelea kutokwa na povu, bwana yenu hawezi kutoka nje ya Israel mpaka atakufa, wenzake wameishamgeuka mmebakia nyie 😂


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1860452675340607714?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kwa huu mvurugano wa uingereza na usa kuhusu Netanyahu na mahakama ya Icc naona tunaelekea pazuri
 
Elimu ya SA ndio maana ni bora sana Wanasheria wao walipeleka kesi Mahakamani ikionekana wana hatia ICC ifanyie kazi.
 
Hivi sisi hatuwezi kumkamata akija kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Nguvu aliyokuwa nayo isreli ni hapo gaza kwa kuwa wameizunguka na kuidhoofisha vya kutosha
 
Umeona sasa nchi za makafiri zilivyo na akili?

Wewe si umekariri uislamu tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…