Canada yahitaji zaidi watu (soma)

Tatizo wabongo hawapendi kufanya kazi, wenye kazi wapo tu kuskizia deal na michongo, hawafanyi kazi kwa moyo😂

Wanasaisa ni madili kwenda mbele, hawafanyi kazi wanafanyia party matumbo yao.

Mzungu hajifikirii leo, anafikiria mjukuu wake ataishije, sasa sijui kama Mwigalu anakufikiria wewe zaidi ya kukuambia uhamie Kenya.
 
Kama Passport ya 150,000 ni ngumu kupata hata kwa miezi 6 ndugu yangu basi usiombe, hivi wengine wanawezaje, kuna nchi in awatu masikini kama India? mbona wanaweza
Myahudi Jr II , nakumbuka ulianza kitambo hizi harakati , vipi ulifanikiwa kwa kiasi gani mkuu tupate mwanga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Tanzania yetu, siku kikinuka mtaona wanaisasa na watoto wao wanavokimizana JK Nyerere, kila mwanasiasa anahakikisha mwanawe ana uraia wa nchi zenye maisha mazuri, mtu una degree unakuaje poyoyo
Degree za vyuo vyenu vya kata,vitanatumia syllabus ya mwaka 1970, ndio maana ni mapoyoyo
 

Umeandika huu Uzi Ukiwa CANADA ? au uko wapi
 
Naweka kambi hapa,, nasabskraib kabisa [emoji2]
 
Naunga mkono hoja. Asante kwa maarifa yako mkuu.
 
Degree za vyuo vyenu vya kata,vitanatumia syllabus ya mwaka 1970, ndio maana ni mapoyoyo

Siyo sahihi, Elimu za nchi hizi ni nyepesi sana, ndio maana mTO wanakjja degree huku nje wanakimbiza sana.

Nakuhakikishia, ukichukua wanafunzi pale KIBAHA/ILBORU ukawaleta hapa kwa degree wote watapata first class GPA,
 
Siyo sahihi, Elimu za nchi hizi ni nyepesi sana, ndio maana mTO wanakjja degree huku nje wanakimbiza sana.

Nakuhakikishia, ukichukua wanafunzi pale KIBAHA/ILBORU ukawaleta hapa kwa degree wote watapata first class GPA,
Hayo mkaratasi yako ya mzumbe na udsm mwisho airport,ukifika Canada hawayatambui lazima urudi darasani,kwenye elimu wacanada wako strictly sana Kuna mdada ailingia na degree ya nursing ya muhimbili university,aliambiwa hana sifa za kuwa nurse kaishia kufanya kazi za care sikukatishi tamaa
alingiq na degree ya nursing
 

Nadhani sijaeleweka, nimesema baada ya miaka 4.

Ni kweli ukiingia hapa kwa njia ya "Skilled worked" kupata kazi haraka ni ngumu lazima uwe na "canadia experience" ya mwaka mmoja na kuipata itakulazimu ufanye kazi ambazo kwa nyumbani ni kazi za walala hoi lakini zitakulipa kuliko mshahara wa mwezi wa hiyo degree yako kwa mtu alie ajiriwa.

baada ya mika 3-4 ndio utaona uzuri wa degree.

watu kama Manesi wakifika hapa wanaingia kwenye programu za bure (shule za bure) inaitwa continue care au kwa walimu inaitwa "early child education" (za mwaka mmoja au diploma ya miaka 2) ila masharti ukimaliza lazima wakuajiri miaka 3 ndio unaweza kwenda pengine.
 
Acha sisi wenye taaluma zetu na usongo wa maisha twende zetu Canada [emoji1063] kutafuna maisha na mbususu za kizungu [emoji6]
YouTube na ukiwa kwa ground ni tofauti kabisa
 
Umesema kweli ndugu, shida ya ajira tuvuke boda ukipambana home imeshindikana jaribu nje.
 
Mifumo ya nchi yetu imesetiwa Ili wengi wawe masikini Ili watawalike, thus vikwazo tele Ili usitoboe, kwa mbinde tena wachache, labda udili na black market, rushwa, au haramu ndio utatoboa.
 
Huna uwezo wa kuajiri vijana masharti kibao kupata passport, unawazuia wasiende nje ya nchi kupata Kazi eti wanateswa kwani hapa nchini awateswi.
Mifumo ya kodi si rafiki imesetiwa kukublock usitoboe.
 
Hio truck driver mbona umeipa category ya pesa ndogo sana, najua si chini ya laki moja ni kuanzia laki moja hadi na nusu dollar kwa mwaka USA na Canada.
 
Life is about information and not certificate, the more you know the more you get. Ulimwengu wa vyeti kukaa madarasani miaka mnakariri Ili kupata vyeti Ili uajiriwe ulishapita, mtatembeza Sana bahasha hadi mfe kwa stress. Maisha yakigoma bongo jaribu nje, ulimwengu ni kijiji, popote unaishi. Bongo bila akili ya kuikwepa mifumo kwamishi utoboi,labda uwe kwenye mifumo ya ulaji rushwa, upigaji au dili za black market.Wenzetu wameseti mifumo inayokulazimisha kufanya Kazi au kutimiza ndoto zako, kule Hakuna mjomba au huruma ya mama ntilie udoe chakula, kule ni Kazi bin Kazi, unaamka Kazi unalala kazi na mifumo yao inasapoti watu kufanya Kazi kuanzia non professional hadi professional job.
Tungefika huko kama tusingedai UHURU, wapigania UHURU waliwaingiza chaka waafrika, waliwapotosha watawaletea maendeleo baada ya UHURU kumbe walipigania maslai yao binafsi na sio ya waafrika wote, hadi leo awapo lakini vizazi vyao vinalamba asali kupitia maumivu ya wengi sababu baba zao walitengeza maisha yao binafsi na familia zao, huku wakiweka mifumo ya kuwabana wengi wasitoboe Ili waweze kuwatawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…