Hujamaliza " mpaka uwe mwizi "Huna uwezo wa kuajiri vijana masharti kibao kupata passport, unawazuia wasiende nje ya nchi kupata Kazi eti wanateswa kwani hapa nchini awateswi.
Mifumo ya kodi si rafiki imesetiwa kukublock usitoboe.
Kwa hesabu hizo fananisha na trucker wa bongo malipo yao bila hesabu za wizi wa mafuta! Hata 4mil kwa mwaka hapatiHio truck driver mbona umeipa category ya pesa ndogo sana, najua si chini ya laki moja ni kuanzia laki moja hadi na nusu dollar kwa mwaka USA na Canada.
Kuendesha truck bongo ukiacha mapepe unaweza toboa,mizigo ya njiani mbona mingiKwa hesabu hizo fananisha na trucker wa bongo malipo yao bila hesabu za wizi wa mafuta! Hata 4mil kwa mwaka hapati
Ni huruma sana kama kweli baadhi yetu akili zimefikia hapa! Yaani unavyo enda kuchukua ajira unakua unawaza vi ajusti vya barabarani!!? Ndio maana madereva wa tanzania wanadharaulika sana! Wakati una sanya hiyo mizigo ya njiani boss wako anajua au unavyo sign mkataba wa ajira hiyo riziki barabarani inakua included kwenye mkataba!? Achilia mbali hoja yako pia hiyo mizigo yenyewe sio guarantee kua lazima utakutana nayo ontime! Kuna muda unatoka tunduma mpaka unatoboa dar na hupati hata tenga la kuku, kakae pale uyole kuna gari hua zinasota mpaka week kusikilizia hiyo mizigo ambayo haipo kwenye huo mkataba wa ajira! Njia ya kati ndio kabisaaaaKuendesha truck bongo ukiacha mapepe unaweza toboa,mizigo ya njiani mbona mingi
Watu kama wewe mie huwaita qumah excuse my frenchWatu kama wewe mie huwaita qumah! Excuse my french
Sawa KabwiliWatu kama wewe mie huwaita qumah excuse my french
Sawa kabwiliSawa Kabwili
WaziiiiiiiiWazii
Be positive acha Majungu km jina lakokwanza kule kuna baridi kali utaishia kua mlevi
Vipi alikujibuAisee ndoto zangu zitatimia kumbe,Mungu ajaalie ,mkuu nikipata 4m inatosha nauli,pakuanzia kukaa ntakuomba unitaftie[emoji18]naomba namba yako ya WhatsApp ya Canada pls .
Unafuatilia visa ipi??Unachoongea nikweli mm nimmoja wawatu nimeshajaribu iyo njia issue inakuja visa wanachelewa kutoa sanaa.kwasasa wana dili na ukrain waamiaji, student na watu wanoenda kutibiwa. Unafanya application ya visa inagonga 6mnth ircc.inaitaji moyo kwakweli
Njia moja wapo ya kulibafili hili taifa ni kwa waTz wengi kuwa na exposure ya nchi za nje , waende kwa wingi na wengine warudibrother Tanzania haitakuja kuwa nchi inayoeleweka kwasababu misingi yake ilishaharibika toka mwingi ameingia madarakani
Vizingiti gani ulivyokutana navyo? , na upo wapi kwa sasa ..?kama hizo nafasi zingekuwa zinapatikana kirahisi mbona wabongo wangeisha woote mtaani, tatizo kuna figisu sana hadi kuweza kutoboa maana hata sie wabeba boksi mpaka tunavuka tunafika pande hizi ni majaliwa kama yule wa lake victoria , maana ukiangalia hayo mavizingiti tuliyovuka ni Mungu mwenyewe anajua. watu kimsingi ni mtaji mkubwa sana ni kwa vile basi tu.
Pesa za kule uki exchange ndio yanakuja mamilioni hayo watu wanashindwa kuafford,Vigezo wanavyo taka ni mtihani kwa wahitaji wengi achilia mbali passport! Kwa gharama hizo wanahitaji matajiri wakafanye kazi
Tupe story mwanzo wa safari yako hadi unafika hukon... hatua ulizoptia ... Itapendeza sana MkuuSweden kamji kanaitwa Kalmar