Canada yahitaji zaidi watu (soma)

Canada yahitaji zaidi watu (soma)

Huna uwezo wa kuajiri vijana masharti kibao kupata passport, unawazuia wasiende nje ya nchi kupata Kazi eti wanateswa kwani hapa nchini awateswi.
Mifumo ya kodi si rafiki imesetiwa kukublock usitoboe.
Hujamaliza " mpaka uwe mwizi "
 
Hio truck driver mbona umeipa category ya pesa ndogo sana, najua si chini ya laki moja ni kuanzia laki moja hadi na nusu dollar kwa mwaka USA na Canada.
Kwa hesabu hizo fananisha na trucker wa bongo malipo yao bila hesabu za wizi wa mafuta! Hata 4mil kwa mwaka hapati
 
Kwa hesabu hizo fananisha na trucker wa bongo malipo yao bila hesabu za wizi wa mafuta! Hata 4mil kwa mwaka hapati
Kuendesha truck bongo ukiacha mapepe unaweza toboa,mizigo ya njiani mbona mingi
 
Kuendesha truck bongo ukiacha mapepe unaweza toboa,mizigo ya njiani mbona mingi
Ni huruma sana kama kweli baadhi yetu akili zimefikia hapa! Yaani unavyo enda kuchukua ajira unakua unawaza vi ajusti vya barabarani!!? Ndio maana madereva wa tanzania wanadharaulika sana! Wakati una sanya hiyo mizigo ya njiani boss wako anajua au unavyo sign mkataba wa ajira hiyo riziki barabarani inakua included kwenye mkataba!? Achilia mbali hoja yako pia hiyo mizigo yenyewe sio guarantee kua lazima utakutana nayo ontime! Kuna muda unatoka tunduma mpaka unatoboa dar na hupati hata tenga la kuku, kakae pale uyole kuna gari hua zinasota mpaka week kusikilizia hiyo mizigo ambayo haipo kwenye huo mkataba wa ajira! Njia ya kati ndio kabisaaaa
 
Aisee ndoto zangu zitatimia kumbe,Mungu ajaalie ,mkuu nikipata 4m inatosha nauli,pakuanzia kukaa ntakuomba unitaftie[emoji18]naomba namba yako ya WhatsApp ya Canada pls .
 
Unachoongea nikweli mm nimmoja wawatu nimeshajaribu iyo njia issue inakuja visa wanachelewa kutoa sanaa.kwasasa wana dili na ukrain waamiaji, student na watu wanoenda kutibiwa. Unafanya application ya visa inagonga 6mnth ircc.inaitaji moyo kwakweli
Unafuatilia visa ipi??
 
brother Tanzania haitakuja kuwa nchi inayoeleweka kwasababu misingi yake ilishaharibika toka mwingi ameingia madarakani
Njia moja wapo ya kulibafili hili taifa ni kwa waTz wengi kuwa na exposure ya nchi za nje , waende kwa wingi na wengine warudi
 
kama hizo nafasi zingekuwa zinapatikana kirahisi mbona wabongo wangeisha woote mtaani, tatizo kuna figisu sana hadi kuweza kutoboa maana hata sie wabeba boksi mpaka tunavuka tunafika pande hizi ni majaliwa kama yule wa lake victoria , maana ukiangalia hayo mavizingiti tuliyovuka ni Mungu mwenyewe anajua. watu kimsingi ni mtaji mkubwa sana ni kwa vile basi tu.
Vizingiti gani ulivyokutana navyo? , na upo wapi kwa sasa ..?
 
Vigezo wanavyo taka ni mtihani kwa wahitaji wengi achilia mbali passport! Kwa gharama hizo wanahitaji matajiri wakafanye kazi
Pesa za kule uki exchange ndio yanakuja mamilioni hayo watu wanashindwa kuafford,
Raha ni kufanya kazi huko esa unayoipata ukienda nayo bongo ni mara 10 thamani yake .. imagine 1 $ = ~2350...
yaani 1 ×2350 hahaha
 
Hii kitu ipo kweli and true watu wanaenda. .hatahizo English test sio ishu km unajua kiingereza. ..ishu kubwa inayowapa changamoto wengi ni salio. ..hakuna kitu kigumu mjini km unahela...tafuta km 5mil ya process zote hapo juu unaingia kule bala shida
 
Back
Top Bottom