Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

Sidhani kama ni sahihi kwa Samata kupewa unahodha wa taifa stars. Suala la nidhamu ni issue kwake.
 
...acha kulia, wachezaji mastaa wote kwenye timu hua wanapewa unahodha,haijalishi kapewa lini huo unahodha,muhimu apewe yeye ili kumfanya ajitume zaidi kwa ajili ya timu.
Hata kufahamika,ni rahisi zaidi marefa wa nje kumsikiliza Samatta kwenye mechi zaidi ya huyo canavaro anaefahamika jangwani.
Hivi Ronaldo Delima alishawahi kuwa C…?? CUF alikuwa Star zaidi Ronaldo?
 
Back
Top Bottom