Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Ronaldo Delima alishawahi kuwa C…?? CUF alikuwa Star zaidi Ronaldo?...acha kulia, wachezaji mastaa wote kwenye timu hua wanapewa unahodha,haijalishi kapewa lini huo unahodha,muhimu apewe yeye ili kumfanya ajitume zaidi kwa ajili ya timu.
Hata kufahamika,ni rahisi zaidi marefa wa nje kumsikiliza Samatta kwenye mechi zaidi ya huyo canavaro anaefahamika jangwani.