Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

acha kudanganya watu kwamba Mara na Singida unaweza lima Canola mkuu,
 
Kilimanjaro ni sehemu chache unaweza lima hilo zao hasa West Kilimanjaro, Arusha ni maeneo kama Karatu, sehemu, Monduli, sio Monduli nzima, Hanangi, sio yote. Mbeya sio Mbeya yote, Iringa
 
Usha wahi kulima au ndo unaaza furusa? Watanzania tunependa Ujanja janja wa kupita kiasi, mtu hujawahi lima unataka watu wawasiliane na wewe.

Canola sio rahisi kama mnavyo taka kuaminisha watu,
Hv hii canola ndio katamu au tofaut?
 
Mpaka Sasa nadhani chikichi ndiyo zao Bora la mafuta kwani lina 50%. Pia Shamba la michikichi unalima mazao mengine maisha yanaebdelea.
 
Mleta mada MIMI NATAKA MBEGU tuu niambie inapatikana wapi na bei yake
 
Mleta mada MIMI NATAKA MBEGU tuu niambie inapatikana wapi na bei yake
Hili forum ina wagizaji sana, juzi nilipoat humu kuhusu Mbegu, watu wakapiga kimya bahati nzuri kuna mdau kutoka Mbeya akawa amebeba zote zaidi ya kilo 25. Hakuna kwa sasa, na najua tangazo uliliona
 
Hili forum ina wagizaji sana, juzi nilipoat humu kuhusu Mbegu, watu wakapiga kimya bahati nzuri kuna mdau kutoka Mbeya akawa amebeba zote zaidi ya kilo 25. Hakuna kwa sasa, na najua tangazo uliliona
Znapatkana kwa magendo au vp maana Kam vle biashara kificho hii
 
  1. Picha ni muhimu
  2. Ungeeleza wapi linaweza kustawi Tanzania badala ya Kenya
  3. Ungezungumzia mechanism ya ukamuaji
  4. Ungetaja angalau ni kiasi gani cha zao hilo hutoa lita moja ya mafuta
  5. Ungeeleza kwa ufupi changamoto za kilimo hicho
  6. Upatikanaji wa mbegu
 
Hili forum ina wagizaji sana, juzi nilipoat humu kuhusu Mbegu, watu wakapiga kimya bahati nzuri kuna mdau kutoka Mbeya akawa amebeba zote zaidi ya kilo 25. Hakuna kwa sasa, na najua tangazo uliliona
Hapana mkuu sikuliona kumbe ndo maana ukajibu kwa hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…