Cape Town Fish Market

Cape Town Fish Market

What up y'all?

Easy like Sunday evening....

Leo ni zamu ya wadada wa mjini kuja kula good time na Mr. Panty Melter.

Unajua kila sehemu na levels zake. Kwa hiyo leo nataka kampani ya wadada wa mjini waliozoea zoea sehemu kama hizi.

Wewe mdada wa mjini kuja hapa CTFM tunywe sparkling wine na tule sushi.
PM me if you're game.
And don't worry...we're not going dutch when you get here. I got you covered.

View attachment 362590 View attachment 362591 View attachment 362592
mkuu hata mimi niko cape town na hapo ni sehem nzur nishaenda
 
Umenitamanisha yale manyama yanayoning'inia na utamu wake, ningekuwa sijala ningenyanyuka sasa hivi. Nile halafu ningesogea bar kukalia viti virefu huku nikiangalia mpira kwenye skrini lao juu ya majani.
 
Back
Top Bottom