Leo ndo nimejua kuwa ni Kasinde
[emoji3] nilidhani ni jina la kingereza.
Mafiningo maana yake - nyota ya asubui. ( Ile nyota ya asubui huitwa Mafiningo)
Tunaamini ipo nyota moja tu asubui ambayo ni kubwa kuliko zote nayo ni ,,Mafiningo"
Nimefurahi pia kuchatt na wewe.[emoji38][emoji38] Aahahahaha English ni poda tuu hizo,
Kasinde ni mbantu asilia mwenye uchotara ndani yake.
Again, nice to meet you here.
ππSubiri niangalie wallet,nikupe locationLocation link please....βΊοΈ.
Ndaga kalumbuNdaga pijooo...[emoji1433][emoji1433][emoji1433].
πππ kwa mila zetu, mwanamke ndio anatakiwa kuweka bajeti, bajeti iwe kiasi gani.....Yeeey ....πππππππππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Such a King, a handsome one... π.
[emoji3][emoji3][emoji3] nitakufundisha siku moja kutamka vizuriTwambomboo...!
Ulimakafu..![emoji28]
πππ kwa mila zetu, mwanamke ndio anatakiwa kuweka bajeti, bajeti iwe kiasi gani.....
Tunanunua nyingi, tunakaa sehemu huku tukisindikiza wkend...Unanitega ujue....
Well, leo ni ijumaa....
Sina hakika mahala ulipo ila, mahala pa juu wine niipendayo yauzwa elf 50 wakati kwenye spirit shop ni 15,000/-
Wawe na barafu za kutosha tuu, Iβll hang hadi useme pooo.... ndo ntaanza safari ya kurudi jumbani π
Nimejikuta mwili wote umeishiwa nguvuππMimi ni nani nipinge usemalo....
Na iwe hivyo βΊοΈ.