Cappuccino Man 💕

Cappuccino Man 💕

Leo ndo nimejua kuwa ni Kasinde
[emoji3] nilidhani ni jina la kingereza.

Mafiningo maana yake - nyota ya asubui. ( Ile nyota ya asubui huitwa Mafiningo)
Tunaamini ipo nyota moja tu asubui ambayo ni kubwa kuliko zote nayo ni ,,Mafiningo"

😆😆 Aahahahaha English ni poda tuu hizo,

Kasinde ni mbantu asilia mwenye uchotara ndani yake.

Again, nice to meet you here.
 
[emoji38][emoji38] Aahahahaha English ni poda tuu hizo,

Kasinde ni mbantu asilia mwenye uchotara ndani yake.

Again, nice to meet you here.
Nimefurahi pia kuchatt na wewe.
Wewe ni dada yangu.
 
Yeeey ....😜😜😜😋😋😋😋👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

Such a King, a handsome one... 😉.
😂😂😂 kwa mila zetu, mwanamke ndio anatakiwa kuweka bajeti, bajeti iwe kiasi gani.....
 
😂😂😂 kwa mila zetu, mwanamke ndio anatakiwa kuweka bajeti, bajeti iwe kiasi gani.....

Unanitega ujue....

Well, leo ni ijumaa....

Sina hakika mahala ulipo ila, mahala pa juu wine niipendayo yauzwa elf 50 wakati kwenye spirit shop ni 15,000/-

Wawe na barafu za kutosha tuu, I’ll hang hadi useme pooo.... ndo ntaanza safari ya kurudi jumbani 😜
 
Tunanunua nyingi, tunakaa sehemu huku tukisindikiza wkend...
 
Back
Top Bottom