Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #61
Leo ndo nimejua kuwa ni Kasinde
[emoji3] nilidhani ni jina la kingereza.
Mafiningo maana yake - nyota ya asubui. ( Ile nyota ya asubui huitwa Mafiningo)
Tunaamini ipo nyota moja tu asubui ambayo ni kubwa kuliko zote nayo ni ,,Mafiningo"
😆😆 Aahahahaha English ni poda tuu hizo,
Kasinde ni mbantu asilia mwenye uchotara ndani yake.
Again, nice to meet you here.