Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Mdolidoli

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2020
Posts
221
Reaction score
242
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser

Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni.

Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa kila siku lazima apost na drama kibao.

Kipi kimemsibu?

 
Kimbilia kwenye lile jukwaa lako pendwa, unahitajika kule ukatoe technical advise!
Kule nimechoka kutoa advise ndio maana nachungulia huku kwa vijana Cappucino Tunda maana nimeGoogle.

Kaja mLatino mara wameniambia ni kahawa, mara kabinti sasa hawajaniwekea wasifu.

Ndio maana nikawaomba techinical advise au haturuhusiwi kuingilia mautamu yenu wakuu?
 
Fuata maisha yako.

Maisha ya Tunda hayakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…