Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser

Picha zake zimeshtusha mashabiki kutoka na na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni.

Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa kila siku lazima apost na drama kibao.

Kipi kimemsibu?
Mbona haja post chichote?
Screenshot_20200626-132849_Instagram.jpg
 
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser

Picha zake zimeshtusha mashabiki kutoka na na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni.

Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa kila siku lazima apost na drama kibao.

Kipi kimemsibu?
Le Mutuz atakuwa anajua
 
Duh! Wakuu hizi orodha nazo ziona humu kwenye huu uzi ni za kweli au ni utani tu maana zinatisha kama sio kuogopesha kabisa atiiii
 
Back
Top Bottom