mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Marehem baba yangu mkubwa alikuwa mwanajeshi,alianza kuugua na kupungua mpaka akaachishwa kazi akajiuguze,akarudi home kijijini anauguzwa namuona anavyoshuka viwango vya uzito na nk.Badala muendelee kushusha hyo chain tuwafahamu tuweze kuwaepusha vijana wetu wadogo wasiukwae mmeingia kwenye mada nyingine ya ukimwi upo au haupo. Hivi kuna mtu anabisha ukimwi haupo. Nakumbuka enzi tuko primry mtaa nilokua naishi walikufa watu kama kumi mfululizo nadhani vimelea bado vipo kwa baadhi ya wngine wanavisambaza hapo kitaa mpaka leo na ukimwi ule wa enzi zile watu walikua wanapitia stage mpk anabakia mifupa. Hao waliobaki ni kwa hisani ya ARV zimewaweka weka
Mpaka anakuja kukata moto hatamaniki,cha ajabu mkewe alikuja kufariki 15yrs letter akiwa na mwili wake tough,si HIV iliyomuondoa.nahisi huyu father baada ya kuona kawaka,alimuweka wazi mkewe.