Capt Tesha ni Mwanajeshi Active wa JWTZ, ukweli huu hapa, Wananchi tumlinde na tujitokeze kwa wingi kwenye maandamano

Yule sio mwanajeshi na hakuna uthibitisho kwa ulichopost. Mwanajeshi yeyote akiiona video ile anajua tu kuwa huyo sio mwanajeshi.
 
Wasanii
 
Point of correction:

Yezebel hakuwa Mfalme..

Yezebel alikuwa mke wa Mfalme Ahabu wa Israel..

Role ya huyu mwanamke Yezebel kwa Mfalme Ahabu ni kuwa, alikuwa mwabudu miuungu hatari kabisa (miungu ya baali) ambayo ilimgeuza Mfalme Ahabu kuwa asiye na maamuzi ktk nchi na taifa lake la Israel badala yake huyu mama mchawi na muuaji ndiye akawa incharge wa welfare zote na maamuzi ktk ufalme (taifa) la Israel chini ya Mfalme Ahabu...

Roho ya Yezebel ina - exist na kutenda kazi mpaka leo na mpaka sasa. Inasemekana Bi Samia Suluhu Hassan (Rais wa Tanganyika) anaendeshwa na roho hiiπŸ€”πŸ€”

She was so dangerous, huyu huitwa pia kwa jina la "mama wa makahaba na machukizo ktk nchi.."
 
31. Steve Nyerere Kiongozi wa Mama sema na mwanao
32. Zitto Kabwe
33. Freeman Mbowe
34. Amos Makalla
35. Albert Msando
36. Mavunde Waziri wa Madini
37. Nape Nnauye
38. Jaji Ndunguru anayesikiliza Kesi ya Lissu na jopo lake lote
39. Albert Chalamila
40. Afande Muliro
41. DCI Kingai
42. DGIS Mombo
43. Jaji Mwambegele
44. Mkurugenzi wa NEC Kailima
45. Angela Kiziga shosti wa Samia
 
Kuwa upande wa wa Tz ni sawa kuwa upande wa nyumbu utajitoa kwaajili yao ila wao likikupata la kukupata wanakimbia na kuchungulia kwa mbali, sasa jamaa kajiripua kuongea Kwanini msitoke leo mnasubiri nini hadi tarehe 29? Hadi hiyo tarehe ifike atakua kashabananishwa martial court kapigwa kazi chini na yuko mahakama za kiraia bila dhamana kwa kosa la uasi na nyie mtakua mmeandaliwa hii dozi
 
Kumanyoko kichwa pumbu wewe
Yaani unatembea na ujinga wa wabongo
Huu ufojajo wa kipumbavu hata mjumbe wa nyumba kumi anaushtukia..
Nyang'au effin buffon
 
kwahio wakikaza alichosema tesha kisipofuatwa anapiga wote πŸ˜‚
 
Umewapiga kwenye mshono πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BTW wanasema ile video sio halisi ni AI
 
Aisee
 
Hii list asikose Mwamposa,Geordavie,kuhani Musa
 
Mmh acha masikhara yako ngoja tuone
 
Big Up sana Capt CJ Traore Tesha ,hakika umebutua kuokoa TAIFA.

Ukishika nchi anza na MAFWELE atuambie kina Soka na wenzake amewaweka wapi ,wahy walimuua Kibao?

Hao wengine ni wa kufungwa tu ,MAFWELE ndiyo MKUU WA UTEKAJI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…