kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ndo umejua sio
Nilimuagiza achochee maharagwe ili msije kufa njaa msamehe sawa boss 🤣Ndo umejua sio
Atolewe kwa sababu gani Mpuuzi kabisa yule?Mtoe chalamila
UnipendiNa ss baada ya hii subirini wanajeshi watakavyojitokeza
Huu mwaka noma
Anzeni na waziri wa kilimoKuna watu wana uraia wa nchi nyingine, hasa za UAE tena walishakuwa viongozi wakubwa wa serikali na chama.
Kama nawaona, wanajoandaa kusepa kwenda mapumzikoni.
Rejea kauli ya CDF watu kutokuwa raia.
Unamzaba Kofi Kali sana ili akili ikae sawaKwa sasa mtu akikuambia kuwa eti Tesha siyo mwanajeshi, mpuuze kama ulivyowahi kuwapuuza wajinga wengine
Yule mlinzi wa JPW ni bora angekausha tu maana press yake ameongea vitu general kabisa ,hakuzungumza kabisa specific issue ya Capt J.C Traore Tesha.Captain John Charles Tesha....
‼️🚨CONFIRMED CAPTAIN JOHN CHARLES 🚨‼️
Imethibitishwa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353
Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni “active” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce
Hii ni kwaajili ya wale wajinga ambao walikuwa wanasema eti Tesha siyo mwanajeshi, huku wakiwa hawatoi sababu kwa nini wamefikia judgement ya namna hiyo.
Kwa sasa mtu akikuambia kuwa eti Tesha siyo mwanajeshi, mpuuze kama ulivyowahi kuwapuuza wajinga wengine.
Sikutishi nakutandika kweliUnalipwa sh ngapi kutisha watu
HahaaaUnipendi
Inawezekana ni mwanajeshiYule sio mwanajeshi na hakuna uthibitisho kwa ulichopost. Mwanajeshi yeyote akiiona video ile anajua tu kuwa huyo sio mwanajeshi.
Leo naona nchi imetulia sana. Watu kimyaaaUkiwa jukwaa la siasa la jf unaweza dhani kesho au mwezi ujao nchi inalipuka.
kumbe wapi,Wafia siasa wanajipa moyo😎
Mabeyo hahusiki kwa namna moja au nyingine?31. Steve Nyerere Kiongozi wa Mama sema na mwanao
32. Zitto Kabwe
33. Freeman Mbowe
34. Amos Makalla
35. Albert Msando
36. Mavunde Waziri wa Madini
37. Nape Nnauye
38. Jaji Ndunguru anayesikiliza Kesi ya Lissu na jopo lake lote
39. Albert Chalamila
40. Afande Muliro
41. DCI Kingai
42. DGIS Mombo
43. Jaji Mwambegele
44. Mkurugenzi wa NEC Kailima
45. Angela Kiziga shosti wa Samia
Kwahiyo umkute akiwa na wese kabisa?We dg tareh 29 mkyundu wako ni mali yangu kwahiyo kaa kiaskar