Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Chawa wanalia kubabake 😂😂😂😂
Duuh hii sasa ishakuwa noma.Watu Wema, Wazalendo, wapenda Haki wamo Majeshini kwetu
Tujitokeze Kwa Wingi, Kwa kadiri tutakavyokua wengi, tutawapa sababu Wanajeshi Hawa kusimama na Wananchi!!.
Soma Pia: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
View attachment 3483337View attachment 3483337
A1 maana yake ni ACTIVE SOLDIER.
Zile Kenge za Lumumba, zije na ngojera nyingine
Inabidi ujiulize niko live au naota 😂Mimi hata msingethibitisha bado msingebadili msimamo wangu.
Hata Captain Tesha mwenyewe akija kukana nitampinga.
Wewe unapewa info za jikoni unataka za kuona mashati aliyovaaSasa ushahidi uko wapi hilo jina au??? Advantage moja Tz mwanajeshi sio siri tayari tungekua na picha zake kuanzia JKT, AKIWA TS, PRIVATE , LUTENI USU, LUTEN NA AKIWA CAPTEN ila unatuletea vibox kwani uko wa tesha wapo wangapi
Hilo tungu linasenyenge ukipigws moja tu unarudi mwenyewe nyumbani🤣🤣🤣🤣Kuwa upande wa wa Tz ni sawa kuwa upande wa nyumbu utajitoa kwaajili yao ila wao likikupata la kukupata wanakimbia na kuchungulia kwa mbali, sasa jamaa kajiripua kuongea Kwanini msitoke leo mnasubiri nini hadi tarehe 29? Hadi hiyo tarehe ifike atakua kashabananishwa martial court kapigwa kazi chini na yuko mahakama za kiraia bila dhamana kwa kosa la uasi na nyie mtakua mmeandaliwa hii doziView attachment 3483356
Na tesha mbona kama kakiwasha sanaUkiwa jukwaa la siasa la jf unaweza dhani kesho au mwezi ujao nchi inalipuka.
kumbe wapi,Wafia siasa wanajipa moyo😎
Kwa akili zenu hizi hakuna wa kuwaachia nchi labda Mwendawazimu tuList ni ndefu sana
1. Samia Suluhu
2. Abdul mtoto wake
3. Mchengerwa mkwe wake
4. Kheri Msaidizi wa Rais Siasa na Kiongozi wa kundi la Wasiojulikana
5. Tulia Ackson Mwansasu
6. Jaji Masaju
7. Jaji Hamidu Mwanga.
8. Hakimu Kiswaga wa Kisutu
9. Jaji Ibrahim Juma
10. Jenista Mhagama
11. Jakaya Kikwete
12. Damas Ndumbaro
13. Gerson Msigwa
14. Rostam Aziz
15. Ridhiwani Kikwete
16. Salma Kikwete
17. Homera former RC Mbeya
18. Mafwele
19. CP Awadhi
20. IGP Wambura
21. Paul Makonda
22. AG Hamza Johari
23. DPP Mwakitalu
24. Nasorro Katuga
25. Waziri Salum Katibu wa Rais
26. Rostam Aziz
27. Bashungwa
28. Jaji Mutungi
29. Sisty Nyahoza
30. DG wa TCRA
List ni ndefu sana
Najua unaumia sana ukiona siku za kushughulikiwa kwa ufisadi wako zinakaribia.Kwa akili zenu hizi hakuna wa kuwaachia nchi labda Mwendawazimu tu
Kwa hiyo wewe ndio mwanajeshi?Yule sio mwanajeshi na hakuna uthibitisho kwa ulichopost. Mwanajeshi yeyote akiiona video ile anajua tu kuwa huyo sio mwanajeshi.
Erythrocyte popote ulipo mkuu.Asante Mungu. Nchi ikapate ukombozi hakika
TS ndo Nini?Sasa ushahidi uko wapi hilo jina au??? Advantage moja Tz mwanajeshi sio siri tayari tungekua na picha zake kuanzia JKT, AKIWA TS, PRIVATE , LUTENI USU, LUTEN NA AKIWA CAPTEN ila unatuletea vibox kwani uko wa tesha wapo wangapi
Mtoe chalamila31. Steve Nyerere Kiongozi wa Mama sema na mwanao
32. Zitto Kabwe
33. Freeman Mbowe
34. Amos Makalla
35. Albert Msando
36. Mavunde Waziri wa Madini
37. Nape Nnauye
38. Jaji Ndunguru anayesikiliza Kesi ya Lissu na jopo lake lote
39. Albert Chalamila
40. Afande Muliro
41. DCI Kingai
42. DGIS Mombo
43. Jaji Mwambegele
44. Mkurugenzi wa NEC Kailima
45. Angela Kiziga shosti wa Samia
Mbona umepanic sana relax mbona sioni maana ya kumtukana mimi siogopi mabadiliko yoyoteXumabaako ***** wewe tena njaa kali, life limekupiga haswa upo kila kila siku kuchochea usenge wako
Kwanza maku wewe unaishi vijijini huko unajifanya kama uko katikati ya jiji
Sio kila unaemuona humu ni njaa kali kama wewe....