Capt Tesha ni Mwanajeshi Active wa JWTZ, ukweli huu hapa, Wananchi tumlinde na tujitokeze kwa wingi kwenye maandamano

Nyie watu mna ujingΓ  mwingi sana hamtumii milahaa na mnataka muandamane.


Panya road tu huwa wanawatoa jasho ila HAO WASHA WASHAπŸ‘ŽπŸ‘Ž
 
Sasa ushahidi uko wapi hilo jina au??? Advantage moja Tz mwanajeshi sio siri tayari tungekua na picha zake kuanzia JKT, AKIWA TS, PRIVATE , LUTENI USU, LUTEN NA AKIWA CAPTEN ila unatuletea vibox kwani uko wa tesha wapo wangapi
Wewe unapewa info za jikoni unataka za kuona mashati aliyovaa
 
Hilo tungu linasenyenge ukipigws moja tu unarudi mwenyewe nyumbani🀣🀣🀣🀣
 
Ukiwa jukwaa la siasa la jf unaweza dhani kesho au mwezi ujao nchi inalipuka.

kumbe wapi,Wafia siasa wanajipa moyo😎
 
Kwa akili zenu hizi hakuna wa kuwaachia nchi labda Mwendawazimu tu
 
Kwa akili zenu hizi hakuna wa kuwaachia nchi labda Mwendawazimu tu
Najua unaumia sana ukiona siku za kushughulikiwa kwa ufisadi wako zinakaribia.

Nakushauri tu andaa ndege ya kutoroka wewe na familia yako.
 
Sasa ushahidi uko wapi hilo jina au??? Advantage moja Tz mwanajeshi sio siri tayari tungekua na picha zake kuanzia JKT, AKIWA TS, PRIVATE , LUTENI USU, LUTEN NA AKIWA CAPTEN ila unatuletea vibox kwani uko wa tesha wapo wangapi
TS ndo Nini?
 
Captain John Charles Tesha....


β€ΌοΈπŸš¨CONFIRMED CAPTAIN JOHN CHARLES πŸš¨β€ΌοΈ
Imethibitishwa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353

Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni β€œactive” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce

Hii ni kwaajili ya wale wajinga ambao walikuwa wanasema eti Tesha siyo mwanajeshi, huku wakiwa hawatoi sababu kwa nini wamefikia judgement ya namna hiyo.

Kwa sasa mtu akikuambia kuwa eti Tesha siyo mwanajeshi, mpuuze kama ulivyowahi kuwapuuza wajinga wengine.
 
Mtoe chalamila
 
Xumabaako ***** wewe tena njaa kali, life limekupiga haswa upo kila kila siku kuchochea usenge wako
Kwanza maku wewe unaishi vijijini huko unajifanya kama uko katikati ya jiji
Sio kila unaemuona humu ni njaa kali kama wewe....
Mbona umepanic sana relax mbona sioni maana ya kumtukana mimi siogopi mabadiliko yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…