Capt Tesha ni Mwanajeshi Active wa JWTZ, ukweli huu hapa, Wananchi tumlinde na tujitokeze kwa wingi kwenye maandamano

Mtoe chalamila
Atolewe kwa sababu gani Mpuuzi kabisa yule?

Tena lists ni ndefu sana
46. Mwigulu Nchemba
47. Prof Kitila Mkumbo
48. Jerry Silaa
49. Deo Sanga wa Njombe
50. Esther Bulaya
51. Ester Matiko
52. Nusrat Hanje
53. Salome Makamba
54. Zungu Naibu Spika
55. John Mrema
56. Benson Kigaila
57. Abdalla Ulega
58. Jaji Chande
59. Mbunge aliyeita Watanzania Kenge
60. Moses Kusiluka.
61. Hussein Bashe
 
Kuna watu wana uraia wa nchi nyingine, hasa za UAE tena walishakuwa viongozi wakubwa wa serikali na chama.

Kama nawaona, wanajoandaa kusepa kwenda mapumzikoni.

Rejea kauli ya CDF watu kutokuwa raia.
 
Kuna watu wana uraia wa nchi nyingine, hasa za UAE tena walishakuwa viongozi wakubwa wa serikali na chama.

Kama nawaona, wanajoandaa kusepa kwenda mapumzikoni.

Rejea kauli ya CDF watu kutokuwa raia.
Anzeni na waziri wa kilimo
 
Yule mlinzi wa JPW ni bora angekausha tu maana press yake ameongea vitu general kabisa ,hakuzungumza kabisa specific issue ya Capt J.C Traore Tesha.
 
Yule sio mwanajeshi na hakuna uthibitisho kwa ulichopost. Mwanajeshi yeyote akiiona video ile anajua tu kuwa huyo sio mwanajeshi.
Inawezekana ni mwanajeshi
Ila uwasilishaji wake ndo unashida ni kama ametumwa maana anasoma kwenye karatasi ....
Ila bado naona kama watu tunapumbazwa tutajadili ya huyu mwanajeshi uchaguzi unafika watu wanapiga kura serikali inaanza upya story za walio kizimbani zinazimwa..
 

Attachments

  • FB_IMG_1759609491121.jpg
    29.5 KB · Views: 30
Wanajeshi watusaidie jambo moja tu hawa wahalifu wasikimbie nchi wamalize kuzunguka na wanachoita kampeni Taifa lina kazi nao mana tukitaifisha mali na pesa zao tuna uhakika wakupata bajeti ya zaidi ya miaka miwili pasipo kukopa tunauhakika kutoa huduma za afya na elimu bure kabisa tukifanikiwa kutaificha pesa na mali zao zote za ndani na nje na yeyote alieshiriki kwenye uovu basi aadhibiwe pasipo kuonewa ili iwe fundisho kwa wengine wakija kupewa dhamana
 
Mabeyo hahusiki kwa namna moja au nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…