Capt Tesha ni Mwanajeshi Active wa JWTZ, ukweli huu hapa, Wananchi tumlinde na tujitokeze kwa wingi kwenye maandamano

Najua unaumia sana ukiona siku za kushughulikiwa kwa ufisadi wako zinakaribia.

Nakushauri tu andaa ndege ya kutoroka wewe na familia yako.
Mungu hawanyimi vyote. Nyie mlichopewa ni kubwabwaja mitandaoni tu mpk mzeeke hamtopata matakwa yenu
 
Mi nachojua hakuna mjeda aliyetoka maisha ya kawaida atakubali kumpiga raia risasi! Hao wanaofanya hivyo ni wale wanaopata connetion. Kwahiyo wanakuwa waaminifu kama malipo. Anyway, oktoba itajulikana.
 
Mungu wabariki na uwalinde wazalendo wote na kuwaadhibu kwa anguko kuu wanaojaribu kuwa hujumu wazalendo wa taifa hili na taifa letu pendwa Tanzania
 
Hiyo list ikiwekwa detention na taifa linapona haraka na afya yake kuimarika kwa kasi.
 
Watu wanaotetewa hawapo tayari kutetewa...
 
Watu timamu awakurupuki tu asubuhi moja na kuchukua nchi kwenye demokrasia hata kama ni ya kiini macho.

Lazima wajiridhishe hatua zao zina baraka la wananchi, kwa hivyo lazima kuwe na strategy ya ku-legitimise mission yao walau kuwepo na popular support.

Phase one: Askofu Gwajima na Polepole kazi yao ilikuwa kupima upepo wa kukubalika kwa serikali. Support ambayo serikali hawana (hiyo ni approval ya jamii kutaka kuona mtu anaingilia kati).

Phase two: psychological preparation ya jeshi kuchukua nchi ndio ‘captain Tesha’ alichofanya na pengine wengine mbeleni. So far na hatua hii pia imepata approval kubwa ya wananchi.

Phase three; watu wanafanya yao.

Hii ni plan ya watu wengi, wenye akili na powerful kwenye vyombo vya ulinzi na usalama sio ya kukurupuka.

Shida ni vilaza serikalini hata warnings signs hawaoni.

Hakuna mtu atavumilia utekaji na mauaji ya watoto wa maskini kwa kasi inayofanyika sasa; kuna adhabu nyingi za kutoa lakini sio hii kiu ya damu iliyokithiri.

Wizi ni jambo moja, uuaji ni jambo lingine ambalo alivumiliki.

“Waja wale” wasambaa wataelewa huo msemo wanaofahamu historia yao na mkoloni kwenye katika harakati zao za kudai uhuru.
 
Mi sijali kama ni fake au real ninajali kama yuko tayari kulikomboa taifa letu kutoka kwa wezi wa rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…