TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Taarifa zisizothibitishwa zinasisitiza kuwa ni kweli kafariki.
 
Kama hajafa kweli nitaamini maneno ya Mwl Nyerere alieliita jiji la Dar kama rumours' ville..
 
Wakuu nimepata taarifa kupiti Uhuru Fm kuwa John Komba, hawahaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ninini.

Mwenye taafika zaidi tunaomba msaada,nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu kidogo sijui kinachoendelea duniani.
 
duuh, Komba? a.k.a mzee wa msituni? umekufa mapema sana mzee, ulitakiwa ubaki hai ushuhudie katiba yako ikipingwa na wananchi lakini pia ukiona mabadiliko makubwa kabisa yakitokea mwaka huu.. pole sana, Mungu akulaze unakostahili..
 
hii habari imenishtua sana...kifo hakizoeleki jamani..kila nafsi itaionja mauti....vijana wenzangu tuupokee msiba huu kwa utulivu mkubwa
 
Huyo hapo
1425133828016.jpg
 
Kwa misukosuko ile anatakiwa awe na roho ngumu sana kuweza kuishi
 
Back
Top Bottom