TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

wakuu ndo yule alisema ataenda mstituni au?
 
duuh, komba??, a.k.a mzee wa msituni?? umekufa mapema sana mzee, ulitakiwa ubaki hai ushuhudie katiba yako ikipingwa na wananchi lakini pia ukiona mabadiliko makubwa kabisa yakitokea mwaka huu.. pole sana, Mungu akulaze unakostahili..

Teh! Hayo uliyotaja ndio chanzo cha kifo chake (the reason for his heart attack) halafu unataka mtu aishi hadi ashuhudie chanzo cha kifo chake mwenyewe! Haijawahi kutokea na haitakaa itokee.
 
Aiseeeee ni hatari,msongo wa mawazo,issue za madeni crdb imemuongezea msongo wa mawazo,apepe capt. Komba,umetoa wimbo wa kmapeni na ukasema hizo ni kampeni zako za mwisho na kweli imekua za mwisho kama ulikuwa unaaga.
 
Pumzika kwa aman mzee wa tunu.Sasa nafikiri nafac ya nape kutupigia taarabu za ccm
 
Back
Top Bottom