TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

R.I.P Rafiki Yangu komba Mimi ni mpinzani wako kisiasa ila katika hili tuko pamoja na family yako kuifariji tuko nyuma yako ulale na upumzike kwa amani.
 
Itabidi akaijiandae kuingia msituni akifika huko aendako ili kuipinga katiba ya Warioba.
 

Huo utakuwa ni UNAFIKI,na unafiki ni dhambi mbaya,yaani mtu siku zote unampinga na kupinga anayoyafanya hlf leo ujilazimishe kuonesha upendo.Haifai.
 

biblia gani
 
R.I.P captain komba ,kila nafsi itaonja umauti

SIO kila nafsi,Kiama kitakapofika kuna watakaokutwa hai,japo pia wataadhibiwa kulingana na matendo yao. Kama unaamini ktk dini rejea kwny maandiko mkuu.
 
Mungu ilaze roho ya mwenzetu captain john Damian Komba mahali pema pepo.
 
Ni laana ya kumtukana warioba lkn mungu amsamehe uko aliko

Wazanaki Huwa Hatutukanwi Hovyo Na Huwa Tuna LAANA Mbaya Na Kali Sana Na Isitoshe Tunasikilizwa Mno Na Mungu TUKINYANYASWA!
 
habar ya majonzi sana, apumzike kwa amani mpiganaji.
 
Habari wadau,ni masaa machache yamepita tangu tumpoteze mbunge wa mbinga mheshimiwa komba,ni hoja ipi iliyojengwa bungeni na mheshimiwa itakayokufanya usimsahau?
 
Mwenyezi mungu iweke roho ya marehemu mahala pema peponi

Mwenyezi Mungu anaiweka roho ya marehemu pale panapostahili...kama alikufa katika haki atawekwa mahala pema
Na kama alikufa katika hali ya dhambi atawekwa panapomstahili
-Hatuwezi kupangua ya Mungu.
 
Ohhhh!!! Jamani RIP Komba japokuwa ulikuwa unaniudhi na kauli zako mbofu mbofu.
 
Kimekuwa kifo cha ghafla sana. Ile bendi sijui kama itaendelea kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…