Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well,sikubaliani na Captain Komba kwa mwenendo wake kisiasa miaka ya hivi karibuni,lakini nakumbuka jinsi mfalme Daudi alivyoomboleza kifo cha mfalme Sauli(aliyetaka kumwua) na kumzika kwa heshima zote.Kuna somo la kimaadili natoa hapa Jf.Tulimkosoa sana Komba humu alipokuwa hai.This time hatusikii tena.Nitaufundisha mabaya moyo wangu mwenyewe iwapo nitatumia nafasi hii ya kutoa pole kwa kumtusi marehemu.Mtu akiwa hai tunaweza ku-attack personality pia,lakini akishakufa,ni vema kukosoa yale aliyoyafanya tena kwa wakati mwingine,katika mijadala mingine,sio hapa pa kutolea pole.Tuwe na uungwana wadau.JF is so big!Baada ya kusema hayo,kofia yangu nikiivua,nasema,I SALUTE YOU CAPTAIN!Thank you for your service.Goodbye.
poleni watani zangu wangoni
Wale wote walioshiriki kudhihaki maoni ya watanzania, waliomtemea mate baba yetu Warioba, sasa wakajipime, waone kama walichomfanyia Warioba ni sawa sawa.
Makonda, kifo cha Komba iwe changamoto kwako, maana neno la mungu linatuambia wote wenye hila mtapukutika taratibu.... Una nafasi ya kuomba msamaha kwa kumpiga na kumdhihaki mzee wa watu
R.I.P captain komba ,kila nafsi itaonja umauti
Mbona umetokwa na povu mkuu!? Pole sana kwa msiba LuluWe ni mtu mjinga. Subiri Kamanda LEMA akifariki nfipo ufanye hii mizaha yako.
Ni laana ya kumtukana warioba lkn mungu amsamehe uko aliko
Mwenyezi mungu iweke roho ya marehemu mahala pema peponi
Komba hakuwa kamanda.Angeweza kuandamana kwa mabomu huyo??!RIP kamanda!!