TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Marehemu sio kuvimba kule sijjui walimuwekea amira mmh
 
Kama alikuwa ovyo lazima isemwe..... Kila mtu atakufa huna haja ya kuogopa kifo tunatembea nacho.... Aende zake......

Ukishasema inasaidia nini?he is gone?!...ulikuwa huoni alivyokuwa ovyo ukamfuata unasubiri mpk amekufa ndio uropoke....huo ujasiri wako uko wapi?
 
Hivi mnaoandika kashfa mnajua kuwa na nyie pia nimarehem watarajiwa???
 
SIO kila nafsi,Kiama kitakapofika kuna watakaokutwa hai,japo pia wataadhibiwa kulingana na matendo yao. Kama unaamini ktk dini rejea kwny maandiko mkuu.

Nakuunga mkono. Atakuja tena kwa hukumu kuwahukumu WAZIMA na WAFU
 

Haijatoka moyoni ila imetoka kwenye simu yako, asingekugusa usingetuandikia gazeti mkuu.
 
Sijui mimi na wengine tujifunze nini kutokana na yaliyoandikwa humu kumhusu Marehemu John Komba.
 
rip komba. najua jimbo atapewa mtoto wako alieko ccm kama majimbo mengine ya kalenga nk
au wewe hukuandika mirathi ya jimbo
 
Wakuu nimepata taarifa kupiti Uhuru Fm kuwa John Komba, hawahaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ninini.

Mwenye taafika zaidi tunaomba msaada,nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu kidogo sijui kinachoendelea duniani.

Jina lako linafanana na uandishi wako
 

Haya muandishi wangu mahiri ninayekuaminia nasubiri ripoti kamili.
Au ni ule mkopo aliokopaga CRDB nasikia walikua wanamdai ml.600 alizoenda kujengea ile shule yake.
 
Mithali 17:5 Naye aufurahiaye msiba hatokosa adhabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…