Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikuwa ovyo lazima isemwe..... Kila mtu atakufa huna haja ya kuogopa kifo tunatembea nacho.... Aende zake......
Kama ni kweli basi ni pigo kubwa sana
yani wewe kama mimi sijui kwanini najilazimisha kuwa na huzuni lakini wapi
SIO kila nafsi,Kiama kitakapofika kuna watakaokutwa hai,japo pia wataadhibiwa kulingana na matendo yao. Kama unaamini ktk dini rejea kwny maandiko mkuu.
mwenzenu sijui nikoje... nikisikia msiba huwa nasikitika sana hata kwa nisie mjua. but kwa komba sijui kwa nini sisikii kuguswa kabisa na huu msiba.. yaani naona kawaida tu! dah tufanye yaliyo mema wakati wa uhai wetu bandugu ili tuache positive legacy tutakapo pumzika.
RIP Komba... but haitoki moyoni WHY!!??
Hivi mnaoandika kashfa mnajua kuwa na nyie pia nimarehem watarajiwa???
Wakuu nimepata taarifa kupiti Uhuru Fm kuwa John Komba, hawahaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ninini.
Mwenye taafika zaidi tunaomba msaada,nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu kidogo sijui kinachoendelea duniani.
Eeh imenibidi nishtuke khaa marehemu uso umemvimba kama wamemuweka amira
Ila eti nasikia kafa kwa presha alikuwa anadaiwa mil 700 wakataka kuuza nyumba yake ya Mbezi ndio bwana yule presha sijui BP au kisukari atajua mwenyewe Aliko Uko , ndo chanzo cha kifo chake nasikia..ila swali je komba alikuwa MTU Wa kukosa mil 600? Mimi na wewe hatuyajui ebu ngoja niingie misitu ya mabopande nikachukue umbea zaidi
Huyu mboni naye alikuwepo kwenye msururu wa kina lulu mkuu??
ikiwa kweli je?