TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Kiongozi mbona unaongea ukweli ambao utawaumiza jirani zako kina ritz,Simiyu yetu,mmaranguoriginal,Mussa Allan et al?Ila acha jamaa atangulie kwa kifo chake mwenyewe kuliko vile alivyotegermea kuvifanya baada ya kuingia chaka kama alivyoahidi wakati wa BMK.

 
RIP komba . Lakini liwe fundisho kwa vijana wanao wadharau waasisi wetu kama akina Walioba kuwatukana na kuwapiga kuwadhalilisha hadharani LAANA NA MIKOSI nadhani Makonda ajifunze na aombe msamaha LAANA HII IMUEPUKE.
 
Ndoto zilikuwa nyingi Mojawapo ni kumchumbia Lulu kisha kuoana na kumfanya mke wa Nne, ndoto ingine alijua Kinara na nape watamfanyia maujanja chama kimlipie Deni la Benk asiadhilike lakini kafariki na kuziacha ndoto zikielea

Kwani kaacha wake wangapi?si ana mke mmoja tu ambaye ni mwalm Salome Komba?
 
Wake watatu mmoja yupo kawe mwingine alikuwa akiishi naye na mwingine yupo village,
He kazi ipo,na mali ndo zinapigwa mnada,sasa mbona na urithi hakuna?bora mwalimu salome yeye anakamata chaki
 
He kazi ipo,na mali ndo zinapigwa mnada,sasa mbona na urithi hakuna?bora mwalimu salome yeye anakamata chaki

Hali ni tete baadhi ya wanaye ni Watukutu hakuna Mfano Komba alijisahau sana kwa kuendekeza michepuko na kusahau kuwasomesha wanae, wengi hawana Taaluma kichwani wapo kama mateja wanasubiri 40 ipite kazi ianze, hakika huko mbeleni ni full majanga.
 
Kifo cha Komba ni mwanzo wa Somalia ndani ya familia na ndugu zake, baada ya kuzikwa lazima kitanuka Kwani Enzi za Uhai wake hakujipanga vyema.
 
Hali ni tete baadhi ya wanaye ni Watukutu hakuna Mfano Komba alijisahau sana kwa kuendekeza michepuko na kusahau kuwasomesha wanae, wengi hawana Taaluma kichwani wapo kama mateja wanasubiri 40 ipite kazi ianze, hakika huko mbeleni ni full majanga.
Aiseeh hili ni fundisho,ila watoto wa mke mkubwa wamesoma,kuna muhasibu,Doctor,na mwanasheria,ila inasikitisha sana maana hata hiyo nyumba wanayoishi Mbezi itapigwa mnada,Komba kafa na Mengi
 
Aiseeh hili ni fundisho,ila watoto wa mke mkubwa wamesoma,kuna muhasibu,Doctor,na mwanasheria,ila inasikitisha sana maana hata hiyo nyumba wanayoishi Mbezi itapigwa mnada,Komba kafa na Mengi

Kubwa ambalo limemteketeza ni Deni la Benk ambalo limetokana na Komba kuacha kulipa kisha akaamua kumjengea nyumba Lulu na kuwa busy kugharamiwa kwa kila kitu na kusahau familia yake, jimbo lake na majukumu muhimu, Lulu ni Sehemu ya kifo chake kwani siku zake za mwisho alikuwa na mawazo mengi sana.
 
Sikumbuki mwaka gani hasa but ilikuwa around mwaka 1992 hivi au 1993
those days nyimbo yake maarufu ilikuwa 'nambari one'
Nimekumbuka hizo enzi za huo wimbo dah,Ila all in all alikua na kipaji cha kuimba . Mwaka 1999 tena zile nyimbo za maombolezo ya mwalimu hasa ule wimbo anaotaja awamu ya kwanza....... Hakuna ubishi alikua na talent ya uimbaji. R.I.P Komba
 
Jamani pamoja na tofauti zote ebu tumpe heshima Marehemu, Mungu amrehemu.
 
But I mean, that is what he is remembered for, kumbukumbu ya marehemu Komba ni gumzo la kuwa na mapenzi ya pembeni na vijana, kutishia kwenda msituni, kujengea nyumba michepuko, kushindwa kulipa rehani za madeni, malumbano ya matusi dhidi ya Jaji Warioba, kuzaa watoto wa pembeni bila hesabu, na kusambazwa kwa picha zake za kingono mitandaoni.

Nobody is talking about his songs or ubunge wa Mbinga or any of that, and that's the bigger tragedy, a devastating blow on his legacy. His eulogy would read much different had he not delved into the murky party politics in the second phase of his public life.

So, I guess the take home here is that mashindano ya siasa za maji taka, hata ukishinda, zinaharibu taswira nzima ya mchango wako na kazi ya maisha yako. I mean, katika kujibizana na Warioba Komba was blowing Warioba out of the water, there was no contest, Warioba alishindwa ku keep up the mashambulizi ya Komba. Vita vya kisiasa alishinda lakini kwa jinsi alivyopigana pamoja na antics zake za pembeni amejiachia legacy chafu.
 

R.I.P Komba! Umesema ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.
 

Mkuu nimeangalia kipindi cha Mkasi cha Salama, Marehemu Komba katoa details tofauti, tar ya kuzaliwa na pia umri wake

Hebu cross check basi
 
Nilikuwa simjui kiundani komba kumbe ndivyo alivyokuwa mweeehhh eeeehhh mungu mpokee mja wako na msamehe duh kwl hapa duniani tunapita tenda wema nenda zako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…