But I mean, that is what he is remembered for, kumbukumbu ya marehemu Komba ni gumzo la kuwa na mapenzi ya pembeni na vijana, kutishia kwenda msituni, kujengea nyumba michepuko, kushindwa kulipa rehani za madeni, malumbano ya matusi dhidi ya Jaji Warioba, kuzaa watoto wa pembeni bila hesabu, na kusambazwa kwa picha zake za kingono mitandaoni.
Nobody is talking about his songs or ubunge wa Mbinga or any of that, and that's the bigger tragedy, a devastating blow on his legacy. His eulogy would read much different had he not delved into the murky party politics in the second phase of his public life.
So, I guess the take home here is that mashindano ya siasa za maji taka, hata ukishinda, zinaharibu taswira nzima ya mchango wako na kazi ya maisha yako. I mean, katika kujibizana na Warioba Komba was blowing Warioba out of the water, there was no contest, Warioba alishindwa ku keep up the mashambulizi ya Komba. Vita vya kisiasa alishinda lakini kwa jinsi alivyopigana pamoja na antics zake za pembeni amejiachia legacy chafu.