TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Inna lillahi wainna ilayh raajiun,
Sote ni wa Mungu na kwake ni marejeo!
 
Rest in peace Capitain,mola akupunguzie adhabu ya kaburi.
 
Naungana nanyi watani katika kuomboleza msiba huu.Nyimbo zako ni ukumbosho kwa siasa zetu . Lowassa atahuzunika pia
 
Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…