Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unataka tu post maiti yake au? Kweli kafariki dunia..
Mkuu kweli tunatembea tukiwa wafu...!!!!
Huyu mzee juzi hapa alidai ati kama katiba mpya itatumbua uwepo wa serikali tatu "Yupo tayari kuingia msituni kupigania serikali mbili"..
Tena juzi pale Songea akawaimbia ccm wimbo wa "kuwaaga" huku Kikwete akimsifu ati haishishiwi nyimbo...!!!!! Leo ndo hivyo tena..!!!
Nadhani mstuko wa kupigwa mnada nyumba na shule alizokuwa akimiliki zimechangia mzee kuondoka mapema... Aaaaah alale anapostahili....!!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
Inaweza kuwa HBPAmepatwa na nin hadi afe??
Masihara kwenye kifo sio fresh