TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Nnacho kumbuka kuhusu Komba ni kwamba km walivo wana ccm wengine kwa ulevi wa madaraka alimtukana sn mzee wetu wa heshima Jaji Warioba.
 
Nahic ndicho kipindi nmemfaham komba kuliko kipindi kingine wakati wa uhai wake, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lipewe sifa...

Kifo kinatufundisha tujiandae maisha yetu maana baada ya kifo kuna maisha nga'mbo ya kaburi..
Je rafiki umejiandaa? Tupekeleze maisha yetu ili tuwe na maisha mema baadae..

Kumbukeni hakuna msamaha baada ya kifo, omba na tubu kabla hujafunga kauri..
 
Nilikuwa simjui kiundani komba kumbe ndivyo alivyokuwa mweeehhh eeeehhh mungu mpokee mja wako na msamehe duh kwl hapa duniani tunapita tenda wema nenda zako!!!
Ulichokijua ni sehemu ndogo tu ya maisha yake nina wasiwasi ukiyajua yote na wewe unaweza kufa kwa presha.
 
RIP mheshimiwa Komba,ila wana JF tupunguze ukali wa maneno hasa kwa kushutumu vile vitu ambavyo hatuna uhakika navyo. bado mchango wake kwa taifa ulikuwa mkubwa ukiacha nyimbo za siasa pia alitunga nyimbo za mazingira,UKIMWI na nyinginezo zenye manufaa kwa taifa letu.

Kila nafsi itaonja mauti

maiti haisimangwi
 
Apunzike kwa amani john komba tutakumis sana kipindi cha kampeni za chama chako
 
Akiwa Songea kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCM, rais Kikwete alisema "CCM siyo chama cha kisanii Komba na Diamond wanatosha" leo mmoja hatunaye kabaki Diamond ataiweza mikiki mikiki ya kampeni?
 
Tusimuhukumu marehemu Komba kwa tamko zake tata. Yeye alikuwa ni msanii na mcheshi. Mengi aliyoyasema yalikuwa ni burudani na kweli yaliwaudhi na kuwafurahisha wengine.

Sijui Kpt. Komba mwingine atapatikana wapi. CCM tumepigwa, tumejeruhiwa vibaya na kifo cha gafla ndugu yetu Komba. Tungo zako zitaendelea kuzikumbuka. Tutazicheza Dodoma pale Chimwaga. Sijui itakuwaje. Kwa heri Komba. Wapelekee taarifa wasisi wa CCM kwamba hakika mshikamano umepungua ndani ya chama chao, bali fitna zimezidi.

Waeleze kwamba mabadiliko karibu yatapatikana nje ya CCM. Muda siyo mrefu mabadiliko haya yatakuja yamesogea. Vinywa vya watu tumechoka tunataka mabadiliko.

Nenda salama ufike huko uendako salama. Sisi hatupajui ila tukuombea wwa maulana, fika huko salama. Mazuri yako mengi tutayakumbuka. Tangulia kwaheri komba. Pumziko la milemile akupe Bwana. Sii mbali sana tutaona huko.
 
Upepo mbaya huu unawakumba walotoa vitisho juu ya katiba ya wananchi..alianza Awadh znz sasa Komba.
Labda ni coincidence tu yatapita
Mungu awalipe yanayostahiki
 
You are very right Mkuu, being overweight is a serious problem. The public need to be addressed on how to live and eat healthy. Non Communicable Diseases are preventable we can avoid them by changing our lifestyles

Mkuu kuna wakati mwingine tunaeneza ujinga. Mtu akiwa na pesa tu ana behave kama mshamba wa miaka ya 60, pombe nyingi nyama kula kila kukicha na mayai ovyo.

So sad kuna watu wakiona mtu mnene wanasema ana afya, amenawiri lakini ukweli ni kuwa mtu anakimblia kifo.
 
Hii thread imevunja record kwa kutembeza ban!! Hapa pasingekalika. Ban zaidi ya 100 zimetembea! Otherwise hapa pangemwagwa kila kitu kuhusu Komba. Wenye madetails wamewekwa lockup!!!
 
NAPITA , hiyo habari ya BBC inapotosha tarehe ya kuzaliwa ya Marehemu Cpt Komba (yaweza kuwa typo tu 45 v 54). Kumbukumbu sahihi waweza kuirejea kutoka tovuti ya bunge.

Alizaliwa 18 March 1954 (amekufa akiwa na miaka inayokaribia 61).

RIP Cpt Komba
 
Last edited by a moderator:
Bora wanavyo pungua kuna kama sits ccm watakufa majambazi wawili Zanzibar wanne bara kabla ya Oct wabunge wa ccm itakufa
 
Back
Top Bottom