TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Muwaambie CCM waache kutupeleka mistuni na kutuacha huko nusu wafu! Hivi nikuulize swali; je yule mama muuza pombe aliyeuawa kule Ilula kwenye purukushani ya Polisi kusaka watu wanaokunywa pombe saa za kazi ili kumfurahisha mtoto wa mkulima angekuwa mzazi wako ungejisikiaje!? Halafu hiyo pombe saa za kazi kwani walianza kunywa siku ile ya purukushani na msako!? Siku zote mnawatafutiaga pesa ya kula nyie!? Polisi walitumwa na nani!? Walianzisha msako ili kumfurahisha pinda!? Wacheni huo upuuzi wenu!? Wengi tunaumizwa na dhuluma inayofanywa na CCM!

Swala hapa sio nani anatenda nini. Kifo cha mtu kinaleta masikitiko makubwa kwa anaowaacha, tunaposhangilia eti kwa kuwa fulani kafa, kwa upande wowote kwa hizi zinazokinzana, hapo ndipo tunapopotoka kwa kukiuka misingi ya utu kama jamii. Hakuna anayemtetea mtu ati kwa kuwa anatoka kwenye chama fulani au kundi fulani.
SUALA HAPA UTU UMEPOTEA MIONGONI MWETU!
 
Wote waliomtolea maneno ya kashfa Mzee Warioba lazima wapukutike
Mkuu!; They shall see the Grory of the Lord > 'Strengthen the weak hands, and make feeble knees. Say to those who are feaful heart, "be Strong, fear not! Behold, your God will come with vengeance, with the recompance of God. He will come and save you. then the eyes of blind shall be opened,and the ears of the deaf unstopped; then shall the lame man leap like a hart, and the tongue of a dump sing for joy." Isa.35:3-6!
 
we are all in the same truck, never judge died ones.

Do you think i dont know im going to die any minute!?? Wao ndo walikuwa au hawajui kama kuna kifo ndo mana wanafanyia wanadamu wenzao ubaya
Me myself and i nimeshajiandaa kutoka hapa duniani infact siwez ishi maisha marefu kama haya ambayo nimefikisha.....
Na afeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Swala hapa sio nani anatenda nini. Kifo cha mtu kinaleta masikitiko makubwa kwa anaowaacha, tunaposhangilia eti kwa kuwa fulani kafa, kwa upande wowote kwa hizi zinazokinzana, hapo ndipo tunapopotoka kwa kukiuka misingi ya utu kama jamii. Hakuna anayemtetea mtu ati kwa kuwa anatoka kwenye chama fulani au kundi fulani.
SUALA HAPA UTU UMEPOTEA MIONGONI MWETU!

Ndugu! Humu ndani kuna wana siasa wako kazini siasa inaendelea kama kawaida. Hivyo ndugu waomboleze msiba nyumbani humu ndani wawaachie wanasiasa ndo muda wao kupunguza machungu yao.

Humu ndani ni kufunguka tu kama panakushinda kaa kimya! Marehemu anaweza kujadiliwa tu haogopwi hata siku moja. Na huku kwetu kama alikuwa anaishi town halipi michango ya misiba ya wengine au akienda likizo hasalimii vilio, siku akifariki Nzengo haiziki mpaka maiti alipe FAINI upo hapo!
 
Do you think i dont know im going to die any minute!?? Wao ndo walikuwa au hawajui kama kuna kifo ndo mana wanafanyia wanadamu wenzao ubaya
Me myself and i nimeshajiandaa kutoka hapa duniani infact siwez ishi maisha marefu kama haya ambayo nimefikisha.....
Na afeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

if you are aware of that is of important and you have no longer have a right to judge, let God in heaven do that and not you.we are all to be judged everyone for his or her actions.
 
if you are aware of that is of important and you have no longer have a right to judge, let God in heaven do that and not you.we are all to be judged everyone for his or her actions.

kwani yeye alikuwa na right ipi kutenda maovu wala sitakuwa mnafki ajili kafa eti nipunguze jazba pambav zake let him rot in hellll nyambaf yake na kesho ntaenda karimjee kutizama mzoga wake sijasikitika wala nini i can care lessss
 
SAA 24 ZISHAPITA TANGU CAPT. KOMBA KUAGA DUNIA HAPO JANA, HAKIKA ILITAMKWA

"Mwanadamu, aliyezaliwa na mwanamke, ana maisha mafupi na yenye kujaa msukosuko." (Ayubu 14:1)
 
Nikiambiwa nichague Komba arudi au mwanangu afe, its better mwanangu afe kuliko Komba kurudi.Mzee alikuwa joka yule!!!
 
vyombo vya habari vimesema marehemu komba,ameacha mjane mmoja na watoto 11,je wote ni mama mmoja?
 
...tusubiri mafuriko ya watoto....
 
Watoto 11!!!! Hatari aiseee. Hapa lazima yatokee malumbano kwenye mali labda km wapo na wa kusingiziwa.
 
huo sasa ni ugomvi au kuingilia mambo binafsi ngoja waje wengine mm nitakupa wa huku Dodoma
 
Jamani jamvi hamskitik hata kdogo! Yaan mawe kwa kwenda na mngaliambiwa achomwe na taili mngalikuwa wa kwanza kuleta mafuta.La msingi watawala wawe na matendo mema badala ya kujijali wenyewe tu
 
​Kifo cha huyu bwana kimenikumbusha kifo cha Kighoma Ally Malima- RIP., shinikizo la damu baada ya acc zake kufungwa.Madeni ni mabaya sana usipolipa siku bank wakitaka chao lazima sukari ipande na shinikizo la damu..RIP kapteni wa kichina!
 
Back
Top Bottom