TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

vyombo vya habari vimesema marehemu komba,ameacha mjane mmoja na watoto 11,je wote ni mama mmoja?

Nenda taratibu,hivi sasa bado tunaomboleza,hata kuzikwa tu bado,maneno chungu zima,Hoo! mara Komba kafanya hivi ,hoo! kafanya vile,haitatusaidia watanzania wenzangu,miaka hii bwana ni majanga tu ya kimaadili,miaka ya zamani mambo hayo ni mpaka siku ya kuanua matanga lakini sasa hivi ni balaa,yaan ukianza kukata Roho tu! magazeti yanaanza,sijui ni kukosa kazi au kukosa utu? tutumie muda huu kufariji wafiwa;wanafamilia na wana Nyasa kwa ujumla.
 
Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live

Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. Peter Serukamba na Mh. Hussein Bashe, nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba , Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. William Ngeleja (MB), kushoto ni Waziri wa Ulinzi Mh. Hussein Mwinyi, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akiwasili nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akiwasili nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mh. Hussein Bashe akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mh. Mwigulu Nchemba, nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mh. Hussein Bashe akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mh. Mwigulu Nchemba pamoja na Mh. William Ngeleja(MB), nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] Imeandaliwa na Sufyan Omar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hata wasipoonyesha live warumi ataleta video tu!
 
Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live

Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba

TBC wanaweza kufanya hili. Ila najiuliza alikuwa na mchango gani zaidi ya Remmy au Mzee Ngurumo (RIP) ambao maziko yao hayahuwa ya kitaifa?
 
Pamoja na yote namtofautisha Mh.Lowasa na wanasiasa wengine ambao ni ni wanasiasa matajiri au wana nafasi zao,sijawahi kumsikia akisema maneno ya KEBEI/DHARAU au maneno ya KUUZI wananchi,iwe ni bungeni,kwenye magazeti au kwenye vikao vyao,hana kauli kama za nyoka wa makengeza,au za bibi yetu wa milioni10 ya mboga,au za tutakula majaniau wauza juisi, kwa hilo nampongeza, kwa jinsi anvyosemwa nadhani angeshakuwa ameropoka mengi ya kuuzi.
 
anayebisha ajiulize vikao vya zabzibar na dar jana vimemgusa Rais EL havina mamlaka juu yA mwenye kiti cha jamhuri
 
EL ni waziri mkuu mfukuzwa/aliejiuzuru jama.. Binadamu wanafiki sana , hiyo mipesa anayohonga si angemlipia madeni yaliyo mchanganya Captain!!!
 
Waziri mkuu mstaafu au aliye jiuzulu kwa kashfa ya richmonduli?
 
Hebu acha kuandika Pumba bana wewe Msalani!!! Huyu fisadi mnamuamini nyie watetezi wa mafisadi usitake kutia kundini Watanzania ambao tunawachukia mafisadi wote akiwemo fisadi Lowassa.

Mungu akulinde Mh.Lowassa, Watanzania tulio wengi bado tunaamini wewe ndio tumaini letu lijalo!
 
Back
Top Bottom