mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Kama kaacha hela yake kwa nini hayo yasifanyike? Miye nisha waambia watu wangu kuwa siku si nyingi ntalitengeneza langu likae tayari kwani nategemea kuzikwa na kitanda changu. Rambi rambi wanunulie kingine atakaye bakia.
Hivi nyie viumbe mnaopenda kuf unikwa kwa zege hivi siku ya mwisho kama siku ya mwisho unatakiwa utoke mwenyewe kwenye kaburi itakuwaje muwaambie kabisa wawazike na sururu na matindiu.