Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kwenye msiba wa Komba nilijifunza kwamba sheria za makanisa ziliwekwa ili kuwadhibiti watu wa chini , ukiwa juu kidogo kwa fedha au umaarufu hazikugusi , Pamoja na Marehemu Komba kuwa na WAKE WAWILI lakini kanisa halikujali liliendelea na ibada kinyume cha utaratibu wake ! Mungu mpunguzie adhabu za kaburi ndugu yetu Komba , Amina .TANZIA:
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.
CCM Wameandika kwenye twitter yao.
![]()