TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA:

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.

CCM Wameandika kwenye twitter yao.

attachment.php

kwenye msiba wa Komba nilijifunza kwamba sheria za makanisa ziliwekwa ili kuwadhibiti watu wa chini , ukiwa juu kidogo kwa fedha au umaarufu hazikugusi , Pamoja na Marehemu Komba kuwa na WAKE WAWILI lakini kanisa halikujali liliendelea na ibada kinyume cha utaratibu wake ! Mungu mpunguzie adhabu za kaburi ndugu yetu Komba , Amina .
 
Nimepita hapo nimeona kuna magar mengi sana,nadhan ndo sababu ya mkusanyiko huo,this time last year ndo watia nia wa urais wanapishanapishana hapo
 
kwenye msiba wa Komba nilijifunza kwamba sheria za makanisa ziliwekwa ili kuwadhibiti watu wa chini , ukiwa juu kidogo kwa fedha au umaarufu hazikugusi , Pamoja na Marehemu Komba kuwa na WAKE WAWILI lakini kanisa halikujali liliendelea na ibada kinyume cha utaratibu wake ! Mungu mpunguzie adhabu za kaburi ndugu yetu Komba , Amina .
Fwedhwa fwedhwa,na wakatolik ndo wana sheria kali kweli
 
Pumzika Kiongozi
Ila Song Lako Huku Yaani Utafikiri Upo Hai Ama Umetoa Single Jana Na KwakuwA Tunaisoma Number Lazima Tukukumbuke Sana
 
Ila lulu hawezi kufika mbinguni, alimsukumiza kanumba akafa, akamtia stress komba nae akafa, sasa kahamia kwa majizo
 
Ila lulu hawezi kufika mbinguni, alimsukumiza kanumba akafa, akamtia stress komba nae akafa, sasa kahamia kwa majizo

Nilimkuta nyasa beach pale, bana bana, mie hata simjui nikaanza harakati zangu. Weeee naambiwa usione kima ziwani. Sema ka muda tu ndo kalibana[emoji3]
 
Back
Top Bottom