Nenda kwenye page ya insta ya Mange. Kuna update katoa sasa hivi kuhusu captain Tesha. Kwa kifupi alishikwa na kupelekwa Dodoma na mpaka sasa wanamhoji.Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza.
Kulikoni?
Naona double double...Duble Duble!
Mbona hasira nyingi?Mshaona mange kakohoa kule mnakuja kuleta unafki hapa
Unazeeka vibaya, unashinda kwenye peji ya mange 😂😂😂Nenda kwenye page ya insta ya Mange. Kuna update katoa sasa hivi kuhusu captain Tesha. Kwa kifupi alishikwa na kupelekwa Dodoma na mpaka sasa wanamhoji.
Kwani alitoa deadline?Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza.
Kulikoni?
Naona double double...Duble Duble!
Acha kieleele, Alisema ataludi kabla ya tarehe 29. Uanatakiwa kuuliza baada ya tarehe hiyoNilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza.
Kulikoni?
Naona double double...Duble Duble!
Yes maam, Julia Drusilla....Unazeeka vibaya, unashinda kwenye peji ya mange 😂😂😂
Yaani na wewe uliamini le capitaine 😂
Kuwa na subira - Captain na Mkufunzi wa vijana wetu kwa ndege zetu za kivita yupo gado. Kumbuka Airwing JWTZ ipo moja tu - chuo pacha chuo kipo Ngerengere Moro. Usiguse utanasa.Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza.
Kulikoni?
Naona double double...Duble Duble!
Mkuu hapa mbona zipo sawa. Neno JWTZ pote alipovaa limeanzia kushoto kwenda kulia, mbona sijaona kasoro.
Alisema atarudi kabla ya tarehe 29. Ingepita tarehe 29 ndio hii thread ilipaswa kuwa validNiliwaambia mnajipa matumaini hewa mkaanza kunitukana!
Alisema kabla ya tarehe 29. Akija tarehe 20, au 23, au 25 au 27 bado hupo ndani ya muda aliosema. Ikipita tarehe 29 ndio ilipaswa uweke hii threadNilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza.
Kulikoni?
Naona double double...Duble Duble!