Captain Tesha alisema atarudi, sijui meishia wapi? Au alikuja kupata maoni ya watu

Captain Tesha alisema atarudi, sijui meishia wapi? Au alikuja kupata maoni ya watu

Unachangia mijadala mikubwa kumbe akili hamna. Micro-details kama hizo unashindwa kung’amua
Amekosoa kitu ambacho hakina makosa, hii hata mimi imefanya nishangae. Hayo maneno JWTZ pote yameanzia kushoto kwenda kulia. Sijui aliwaza hayo maneno yanatakiwa kuwaje
 
Amekosoa kitu ambacho hakina makosa, hii hata mimi imefanya nishangae. Hayo maneno JWTZ pote yameanzia kushoto kwenda kulia. Sijui aliwaza hayo maneno yanatakiwa kuwajeItak

Amekosoa kitu ambacho hakina makosa, hii hata mimi imefanya nishangae. Hayo maneno JWTZ pote yameanzia kushoto kwenda kulia. Sijui aliwaza hayo maneno yanatakiwa kuwaje
Atakuwa anasumbuliwa na uchawa au ubishi wa kutokubali ukweli
 
Niliwaambia mnajipa matumaini hewa mkaanza kunitukana!
Kuna linalokupa "matumaini" wewe; ndiyo maana akili zako zote umewekeza huko.

Unawahimiza waTanzania wafuate ratiba yao; wasipofanya hivyo unawaita kila aina ya jina chafu.
Elewa kuwa hawana mkataba wowote na wewe.
 
Ushamba wa simu tu,
unaongea km comedy kumbe umeongea upuuzi mwingi wa kufwatiliwa.
Kama wamemshika huko tayari muda kashapoteza.
Ujinga tu na utoto
 
Nenda kwenye page ya insta ya Mange. Kuna update katoa sasa hivi kuhusu captain Tesha. Kwa kifupi alishikwa na kupelekwa Dodoma na mpaka sasa wanamhoji.
Yes nimesoma just a few minutes ago
 
Back
Top Bottom