100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kuna huu uzi nimesoma.
Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli.
Naomba nijibu kama ifuatavyo..
Hakuna Idara ya Usalama duniani inayoweza kuandaa project ya kujichafua yenyewe, kuua uchumi wa nchi yake, na kuhatarisha usalama wa rais wake kimataifa ili tu kutafuta mchawi ni nani ndani ya serikali. Huo utakuwa ni wehu, sio intelijensia.
Ina maana hao usalama hawakufanya hata risk assessment juu ya hi project yao? Nchi kukatiwa misaada, kunyimwa fedha na wadau wa maendeleo, na Samia kuwekwa kwenye rada za ICC ni kushindwa kukubwa kwa tathmini ya hatari , risk assessment (kama ni kweli waliandaa hio project) ... matokeo yake ni uharibifu wa taswira ya kidiplomasia na kiuchumi wa nchi.. kitu ambacho usalama wasingeweza kufanya hivyo.
Hio hata usiite project night walk kama muanzisha mada Robert Heriel Mtibeli anavyosema bali ni blowback, Katika medani ya usalama , blowback ni pale operesheni ya siri inapogeuka na kuanza kushambulia au kuleta madhara kwa serikali iliyoiandaa yenyewe.
Hio ni conspiracy theory bias.. na ni mawazo ya mtu..
Katika ulimwengu halisi wa kijasusi, hakuna idara makini(achilia mbali idara ya Tanzania ambayo ni full chawa) inayoweza kuhatarisha taswira ya nchi, uchumi, na usalama wa rais kimataifa, ili tu kuwatega/kukamata watu wachache waliopo ndani ya mfumo.
Idara za usalama hazitengenezi mchezo unaoweza kuwazidi nguvu na kuwaletea blowback..
Hivyo huo ni uongo wa wazi, na usalama wa hii nchi hawawezi kufanya hivyo..
Harakati zilikuwa halisi, hazikuratibiwa na serikali, na ingawa zimeshindwa kushika dola au kufanya mapinduzi, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kimkakati kwa kuichafua na kuidhoofisha serikali.
Acheni kuwanyang'anya activists sifa zao na kuwapa sifa vyombo vya usalama ambavyo kiuhalisia vilikuwa vimechanganyikiwa na kupoteza uelekeo...
Harakati hizi zimeacha kovu kubwa ambalo serikali inahangaika kulifuta hadi sasa hivi, tunaona hadi tume ya mchongo iliyotengenezwa, huko kote ni kuhangaika kujisafisha, na watu bado wameshikilia bango la MO29, kama ni kweli usalama waliandaa ilibidi hivi sasa hizi kelele za MO29 ziwe hazisikiki.
Kama harakati hizi zingekuwa ni mradi wa usalama, serikali isingekuwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi na kidiplomasia iliyonayo sasa.
Hizi ni story za vijiweni baada ya kupiga vikombe kadhaa vya kahawa.
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura yake kuwa hewani,
Kiswahili chake cha kuokoteza kama Mswahili wa AI, huyu si mwingine, alijiita Habil na Kabil.
Anabonga, anatoa vitisho, watu wanavishwa na mshangao wakiwa hawajui wamuunge mkono au wampuuzie.
Habil na Kabil wanatoa vitisho na data bila kuzichambua kama ni kweli ama sio kweli...

- Robert Heriel Mtibeli
- captain captain tesha habil habil na kabil project usalama
- Replies: 96
- Forum: Jukwaa la Siasa