100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ilikua ni project ya awali kabisa ya baadhi ya AZAKI kuelekea uharibifu na maafa ya wananchi Oct.29.2025πKuna huu uzi nimesoma.
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura yake kuwa hewani,
Kiswahili chake cha kuokoteza kama Mswahili wa AI, huyu si mwingine, alijiita Habil na Kabil.
Anabonga, anatoa vitisho, watu wanavishwa na mshangao wakiwa hawajui wamuunge mkono au wampuuzie.
Habil na Kabil wanatoa vitisho na data bila kuzichambua kama ni kweli ama sio kweli...
- Robert Heriel Mtibeli
- captain captain tesha habil habil na kabil project usalama
- Replies: 96
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli.
Naomba nijibu kama ifuatavyo..
Hakuna Idara ya Usalama duniani inayoweza kuandaa project ya kujichafua yenyewe, kuua uchumi wa nchi yake, na kuhatarisha usalama wa rais wake kimataifa ili tu kutafuta mchawi ni nani ndani ya serikali. Huo utakuwa ni wehu, sio intelijensia.
Ina maana hao usalama hawakufanya hata risk assessment juu ya hi project yao? Nchi kukatiwa misaada, kunyimwa fedha na wadau wa maendeleo, na Samia kuwekwa kwenye rada za ICC ni kushindwa kukubwa kwa tathmini ya hatari , risk assessment (kama ni kweli waliandaa hio project) ... matokeo yake ni uharibifu wa taswira ya kidiplomasia na kiuchumi wa nchi.. kitu ambacho usalama wasingeweza kufanya hivyo.
Hio hata usiite project night walk kama muanzisha mada Robert Heriel Mtibeli anavyosema bali ni blowback, Katika medani ya usalama , blowback ni pale operesheni ya siri inapogeuka na kuanza kushambulia au kuleta madhara kwa serikali iliyoiandaa yenyewe.
Hio ni conspiracy theory bias.. na ni mawazo ya mtu..
Katika ulimwengu halisi wa kijasusi, hakuna idara makini(achilia mbali idara ya Tanzania ambayo ni full chawa) inayoweza kuhatarisha taswira ya nchi, uchumi, na usalama wa rais kimataifa, ili tu kuwatega/kukamata watu wachache waliopo ndani ya mfumo.
Idara za usalama hazitengenezi mchezo unaoweza kuwazidi nguvu na kuwaletea blowback..
Hivyo huo ni uongo wa wazi, na usalama wa hii nchi hawawezi kufanya hivyo..
Harakati zilikuwa halisi, hazikuratibiwa na serikali, na ingawa zimeshindwa kushika dola au kufanya mapinduzi, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kimkakati kwa kuichafua na kuidhoofisha serikali.
Hii mada lengo lake ni kuwanyang'anya activists sifa zao na kuwapa sifa vyombo vya usalama ambavyo kiuhalisia vilikuwa vimechanganyikiwa na kupoteza uelekeo...
Harakati hizi zimeacha kovu kubwa ambalo serikali inahangaika kulifuta hadi sasa hivi, tunaona hadi tume ya mchongo iliyotengenezwa, huko kote ni kuhangaika kujisafisha, na watu bado wameshikilia bango la MO29, kama ni kweli usalama waliandaa ilibidi hivi sasa hizi kelele za MO29 ziwe hazisikiki.
Kama harakati hizi zingekuwa ni mradi wa usalama, serikali isingekuwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi na kidiplomasia iliyonayo sasa.
Hizi ni story za vijiweni baada ya kupiga vikombe kadhaa vya kahawa.
ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji,ufiraji, utekaji, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, uchaguzi usio huru na haki, ugumu wa maisha, wizi n.k ni baadhi ya sababu zilizopelekea wananchi kutoka MO29, hakuna cha AZAKI wala ushuzi wa AZAKI.Ilikua ni project ya awali kabisa ya baadhi ya AZAKI kuelekea uharibifu na maafa ya wananchi Oct.29.2025π
kwa taarifa yako sasa,ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji,ufiraji, utekaji, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, uchaguzi usio huru na haki, ugumu wa maisha, wizi n.k ni baadhi ya sababu zilizopelekea wananchi kutoka MO29, hakuna cha AZAKI wala ushuzi wa AZAKI.
ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji,ufiraji, utekaji, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, uchaguzi usio huru na haki, ugumu wa maisha, wizi n.k ni baadhi ya sababu zilizopelekea wananchi kutoka MO29, hakuna cha AZAKI wala ushuzi wa AZAKI.kwa taarifa yako sasa,
baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini ndio mastermind na mfadhili mkuu wa hayo yote gentleman.
huenda wamefanikiwa kukubeba ufala wa kifikra hata wewe na kukuaminisha upotofu. Na for ur information, ipo siku watatamani na wewe uangamie kufanikisha malengo ya ya kuchota mkwanja zaidi kutoka kwa mabwenyenye yanayowafadhili.
Gutuka mapema na ukae chonjo plz π
Gentleman,ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji,ufiraji, utekaji, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, uchaguzi usio huru na haki, ugumu wa maisha, wizi n.k ni baadhi ya sababu zilizopelekea wananchi kutoka MO29, hakuna cha AZAKI wala ushuzi wa AZAKI.
mnafira watu, halafu mnajinadi kupinga ushoga..Gentleman,
hayo yote ni project ya baadhi AZAKI na vyama vya siasa nchini, kujipatia ulaji zaidi kutoka kwa mabwenyenye ya magharibi yanayokusudia kupenyeza ushoga kwa lazima Tanzania kupitia AZAKI π
Naunga mkono hoja.Kuna huu uzi nimesoma.
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura yake kuwa hewani,
Kiswahili chake cha kuokoteza kama Mswahili wa AI, huyu si mwingine, alijiita Habil na Kabil.
Anabonga, anatoa vitisho, watu wanavishwa na mshangao wakiwa hawajui wamuunge mkono au wampuuzie.
Habil na Kabil wanatoa vitisho na data bila kuzichambua kama ni kweli ama sio kweli...
- Robert Heriel Mtibeli
- captain captain tesha habil habil na kabil project usalama
- Replies: 96
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli.
Naomba nijibu kama ifuatavyo..
Hakuna Idara ya Usalama duniani inayoweza kuandaa project ya kujichafua yenyewe, kuua uchumi wa nchi yake, na kuhatarisha usalama wa rais wake kimataifa ili tu kutafuta mchawi ni nani ndani ya serikali. Huo utakuwa ni wehu, sio intelijensia.
Ina maana hao usalama hawakufanya hata risk assessment juu ya hi project yao? Nchi kukatiwa misaada, kunyimwa fedha na wadau wa maendeleo, na Samia kuwekwa kwenye rada za ICC ni kushindwa kukubwa kwa tathmini ya hatari , risk assessment (kama ni kweli waliandaa hio project) ... matokeo yake ni uharibifu wa taswira ya kidiplomasia na kiuchumi wa nchi.. kitu ambacho usalama wasingeweza kufanya hivyo.
Hio hata usiite project night walk kama muanzisha mada Robert Heriel Mtibeli anavyosema bali ni blowback, Katika medani ya usalama , blowback ni pale operesheni ya siri inapogeuka na kuanza kushambulia au kuleta madhara kwa serikali iliyoiandaa yenyewe.
Hio ni conspiracy theory bias.. na ni mawazo ya mtu..
Katika ulimwengu halisi wa kijasusi, hakuna idara makini(achilia mbali idara ya Tanzania ambayo ni full chawa) inayoweza kuhatarisha taswira ya nchi, uchumi, na usalama wa rais kimataifa, ili tu kuwatega/kukamata watu wachache waliopo ndani ya mfumo.
Idara za usalama hazitengenezi mchezo unaoweza kuwazidi nguvu na kuwaletea blowback..
Hivyo huo ni uongo wa wazi, na usalama wa hii nchi hawawezi kufanya hivyo..
Harakati zilikuwa halisi, hazikuratibiwa na serikali, na ingawa zimeshindwa kushika dola au kufanya mapinduzi, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kimkakati kwa kuichafua na kuidhoofisha serikali.
Acheni kuwanyang'anya activists sifa zao na kuwapa sifa vyombo vya usalama ambavyo kiuhalisia vilikuwa vimechanganyikiwa na kupoteza uelekeo...
Harakati hizi zimeacha kovu kubwa ambalo serikali inahangaika kulifuta hadi sasa hivi, tunaona hadi tume ya mchongo iliyotengenezwa, huko kote ni kuhangaika kujisafisha, na watu bado wameshikilia bango la MO29, kama ni kweli usalama waliandaa ilibidi hivi sasa hizi kelele za MO29 ziwe hazisikiki.
Kama harakati hizi zingekuwa ni mradi wa usalama, serikali isingekuwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi na kidiplomasia iliyonayo sasa.
Hizi ni story za vijiweni baada ya kupiga vikombe kadhaa vya kahawa.
Ni sahihi, wala hata hio akili usalama hawajafikia kwa jinsi navyo wafahamu,na hata wangepata hilo wazo wasingejaribu maana risk yake inajulikana ni jinsi gani ingalikuwa...Naunga mkono hoja.
Utakua ni wendawazimu kuamini eti TISS ndio waliratibu project hiyo ambayo ilikua na negative impact kwa serikali.
Mkuu baadhi ya Watanzania ni wajinga kweli kweli, kibaya zaidi hawajui kutenganisha maoni binafsi na facts, mtu akishashiba ugali na mboga za majani anakuja jf na kutapika hovyo.. anaongea maoni binafsi as if ni facts, maoni yenyewe anayotoa hayana kichwa wala miguu..Harakati zote ni halisi, wengine wanaofanya harakati ni kwamba wana mategemeo makubwa tu kupitiliza kwa raia na hawako pragmatic.
Ugali na mboga za majani ukiongeza na kayai ka kuku kamoja inakuwa ni balanced diet ! πMkuu baadhi ya Watanzania ni wajinga kweli kweli, kibaya zaidi hawajui kutenganisha maoni binafsi na facts, mtu akishashiba ugali na mboga za majani anakuja jf na kutapika hovyo.. anaongea maoni binafsi as if ni facts, maoni yenyewe anayotoa hayana kichwa wala miguu..
Umemaliza kila kitu.Kuna huu uzi nimesoma.
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura yake kuwa hewani,
Kiswahili chake cha kuokoteza kama Mswahili wa AI, huyu si mwingine, alijiita Habil na Kabil.
Anabonga, anatoa vitisho, watu wanavishwa na mshangao wakiwa hawajui wamuunge mkono au wampuuzie.
Habil na Kabil wanatoa vitisho na data bila kuzichambua kama ni kweli ama sio kweli...
- Robert Heriel Mtibeli
- captain captain tesha habil habil na kabil project usalama
- Replies: 96
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli.
Naomba nijibu kama ifuatavyo..
Hakuna Idara ya Usalama duniani inayoweza kuandaa project ya kujichafua yenyewe, kuua uchumi wa nchi yake, na kuhatarisha usalama wa rais wake kimataifa ili tu kutafuta mchawi ni nani ndani ya serikali. Huo utakuwa ni wehu, sio intelijensia.
Ina maana hao usalama hawakufanya hata risk assessment juu ya hi project yao? Nchi kukatiwa misaada, kunyimwa fedha na wadau wa maendeleo, na Samia kuwekwa kwenye rada za ICC ni kushindwa kukubwa kwa tathmini ya hatari , risk assessment (kama ni kweli waliandaa hio project) ... matokeo yake ni uharibifu wa taswira ya kidiplomasia na kiuchumi wa nchi.. kitu ambacho usalama wasingeweza kufanya hivyo.
Hio hata usiite project night walk kama muanzisha mada Robert Heriel Mtibeli anavyosema bali ni blowback, Katika medani ya usalama , blowback ni pale operesheni ya siri inapogeuka na kuanza kushambulia au kuleta madhara kwa serikali iliyoiandaa yenyewe.
Hio ni conspiracy theory bias.. na ni mawazo ya mtu..
Katika ulimwengu halisi wa kijasusi, hakuna idara makini(achilia mbali idara ya Tanzania ambayo ni full chawa) inayoweza kuhatarisha taswira ya nchi, uchumi, na usalama wa rais kimataifa, ili tu kuwatega/kukamata watu wachache waliopo ndani ya mfumo.
Idara za usalama hazitengenezi mchezo unaoweza kuwazidi nguvu na kuwaletea blowback..
Hivyo huo ni uongo wa wazi, na usalama wa hii nchi hawawezi kufanya hivyo..
Harakati zilikuwa halisi, hazikuratibiwa na serikali, na ingawa zimeshindwa kushika dola au kufanya mapinduzi, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kimkakati kwa kuichafua na kuidhoofisha serikali.
Acheni kuwanyang'anya activists sifa zao na kuwapa sifa vyombo vya usalama ambavyo kiuhalisia vilikuwa vimechanganyikiwa na kupoteza uelekeo...
Harakati hizi zimeacha kovu kubwa ambalo serikali inahangaika kulifuta hadi sasa hivi, tunaona hadi tume ya mchongo iliyotengenezwa, huko kote ni kuhangaika kujisafisha, na watu bado wameshikilia bango la MO29, kama ni kweli usalama waliandaa ilibidi hivi sasa hizi kelele za MO29 ziwe hazisikiki.
Kama harakati hizi zingekuwa ni mradi wa usalama, serikali isingekuwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi na kidiplomasia iliyonayo sasa.
Hizi ni story za vijiweni baada ya kupiga vikombe kadhaa vya kahawa.
Wewe nawe kilaza kumbe. Mada inahusu ishu zilizotokea baada ya mauaji, wewe unaleta habari za kabla ya chinjachinja. Before oct 29 nani alikuwa anamjua Capt tesha au habil? Tutolee upuuzi wako hapa.Ilikua ni project ya awali kabisa ya baadhi ya AZAKI kuelekea uharibifu na maafa ya wananchi Oct.29.2025π
Mnaogopa nini kuwafikisha court sasakwa taarifa yako sasa,
baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini ndio mastermind na mfadhili mkuu wa hayo yote gentleman.
huenda wamefanikiwa kukubeba ufala wa kifikra hata wewe na kukuaminisha upotofu. Na for ur information, ipo siku watatamani na wewe uangamie kufanikisha malengo ya ya kuchota mkwanja zaidi kutoka kwa mabwenyenye yanayowafadhili.
Gutuka mapema na ukae chonjo plz π
Mkuu mtu kuwa mwana usalama haimaanishi kuwa amekuwa mungu kiasi kuwa atacho panga ni razima kitakuwa pafect kwa asilimia 100.Kuna huu uzi nimesoma.
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura yake kuwa hewani,
Kiswahili chake cha kuokoteza kama Mswahili wa AI, huyu si mwingine, alijiita Habil na Kabil.
Anabonga, anatoa vitisho, watu wanavishwa na mshangao wakiwa hawajui wamuunge mkono au wampuuzie.
Habil na Kabil wanatoa vitisho na data bila kuzichambua kama ni kweli ama sio kweli...
- Robert Heriel Mtibeli
- captain captain tesha habil habil na kabil project usalama
- Replies: 96
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli.
Naomba nijibu kama ifuatavyo..
Hakuna Idara ya Usalama duniani inayoweza kuandaa project ya kujichafua yenyewe, kuua uchumi wa nchi yake, na kuhatarisha usalama wa rais wake kimataifa ili tu kutafuta mchawi ni nani ndani ya serikali. Huo utakuwa ni wehu, sio intelijensia.
Ina maana hao usalama hawakufanya hata risk assessment juu ya hi project yao? Nchi kukatiwa misaada, kunyimwa fedha na wadau wa maendeleo, na Samia kuwekwa kwenye rada za ICC ni kushindwa kukubwa kwa tathmini ya hatari , risk assessment (kama ni kweli waliandaa hio project) ... matokeo yake ni uharibifu wa taswira ya kidiplomasia na kiuchumi wa nchi.. kitu ambacho usalama wasingeweza kufanya hivyo.
Hio hata usiite project night walk kama muanzisha mada Robert Heriel Mtibeli anavyosema bali ni blowback, Katika medani ya usalama , blowback ni pale operesheni ya siri inapogeuka na kuanza kushambulia au kuleta madhara kwa serikali iliyoiandaa yenyewe.
Hio ni conspiracy theory bias.. na ni mawazo ya mtu..
Katika ulimwengu halisi wa kijasusi, hakuna idara makini(achilia mbali idara ya Tanzania ambayo ni full chawa) inayoweza kuhatarisha taswira ya nchi, uchumi, na usalama wa rais kimataifa, ili tu kuwatega/kukamata watu wachache waliopo ndani ya mfumo.
Idara za usalama hazitengenezi mchezo unaoweza kuwazidi nguvu na kuwaletea blowback..
Hivyo huo ni uongo wa wazi, na usalama wa hii nchi hawawezi kufanya hivyo..
Harakati zilikuwa halisi, hazikuratibiwa na serikali, na ingawa zimeshindwa kushika dola au kufanya mapinduzi, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kimkakati kwa kuichafua na kuidhoofisha serikali.
Acheni kuwanyang'anya activists sifa zao na kuwapa sifa vyombo vya usalama ambavyo kiuhalisia vilikuwa vimechanganyikiwa na kupoteza uelekeo...
Harakati hizi zimeacha kovu kubwa ambalo serikali inahangaika kulifuta hadi sasa hivi, tunaona hadi tume ya mchongo iliyotengenezwa, huko kote ni kuhangaika kujisafisha, na watu bado wameshikilia bango la MO29, kama ni kweli usalama waliandaa ilibidi hivi sasa hizi kelele za MO29 ziwe hazisikiki.
Kama harakati hizi zingekuwa ni mradi wa usalama, serikali isingekuwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi na kidiplomasia iliyonayo sasa.
Hizi ni story za vijiweni baada ya kupiga vikombe kadhaa vya kahawa.
hakuna haja ya papara wala mbio kwenye mambo ya msingi gentleman, hata ambao tayari wamejistukia na kukimbia walikokimbila, mkono wa sheria utawafuata na kuwarejesha bila mbambamba yoyote gentleman πMnaogopa nini kuwafikisha court sasa
AZAKI zilikua zinamjua vema sana gentleman.Wewe nawe kilaza kumbe. Mada inahusu ishu zilizotokea baada ya mauaji, wewe unaleta habari za kabla ya chinjachinja. Before oct 29 nani alikuwa anamjua Capt tesha au habil? Tutolee upuuzi wako hapa.