Car diagnostic solutions


But kwa nissan hiyo code ni Crankshaft position sensor....


Labda useme unapoendesha gari inapokosa nguvu, mshale wa rpm unapanda kama kawaida?
 

Pia hiyo Nissan inatumia control box mbili tofauti kwa engine na gearbox?
 

Pia code ya speed sensor kwenye Nissan mara nyingi huwa p0720 na hata hivyo speed sensor hizo huwa si chini ya 2.
 
But kwa nissan hiyo code ni Crankshaft position sensor....


Labda useme unapoendesha gari inapokosa nguvu, mshale wa rpm unapanda kama kawaida?
Mshale wa rpm unapanda kama kawaida ila leo asubuhi imetokea hali ya tofauti....nimefika kwenye kilima gari likaishiwa nguvu.. nikakanyaga pedo ya mafuta mpaka kwenye floor..rpm haikuvuka 2...na gari likaindoka kwa shida sana ila baada ya sekunde chache rpm ijakubali kuoanda mpaka 3 na kuendelea
 
Basi hiyo ni engine....
 
Ila kilichonishangaza wakati wa kufanya diagnosis, hiyo code ilionekana upande wa transmission,...sijui kwa nini..
Nadhani nitaaza na zoezi rahisi la kusafisha connectors za sensor husika endapo zina caborn....zikigoma basi nitaweka sensor nyingine..
Okay ni sawa pia
 
Wadau Mimi gari yangu ni ist but Kuna tatizo silielewi ,nazani Kari nyingi huwa unapowasha ahsubih rpm inakuwa juu baada ya injin kupata joto inashuka but gari yangu ukitembea popote hata kama ni mchana then ukaipak kwa muda wa masaa matatu ukiwasha rpm inakuwajuu tena,injin ikiwa na joto hata uzime na kuwasha vp rpm
 
Baada ya kuisafisha.......nimeona uafadhali kidogo ila bado napata rough idling.....

I need to replace this sensor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…