Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Inakosa nguvu kabisaa kwenye kilima......pia highway inaweza ikachanganya kawaida kwa haraka..kuna muda inakuwa nzito sana .inakosa nguvu...haswa nikiwasha AC au kama nimebeba watuGari ina tatizo gani?