Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Upgrades kama hizo zinategemea na mazingira, huku watu wameridhika na design inayokuja na gari.
Af kingine ubahili, mtu kutoa $2000 afanyiwe tuning tu gari iache kunywa mafuta na kuongeza nguvu anaona ni nyingi sana
Yes nakubali kwenye ubahili hapoUpgrades kama hizo zinategemea na mazingira, huku watu wameridhika na design inayokuja na gari.
Af kingine ubahili, mtu kutoa $2000 afanyiwe tuning tu gari iache kunywa mafuta na kuongeza nguvu anaona ni nyingi sana
Mkuu ongeza nyama hapo kwenye tuning gari iache kula mafutaUpgrades kama hizo zinategemea na mazingira, huku watu wameridhika na design inayokuja na gari.
Af kingine ubahili, mtu kutoa $2000 afanyiwe tuning tu gari iache kunywa mafuta na kuongeza nguvu anaona ni nyingi sana
Hizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.Mkuu ongeza nyama hapo kwenye tuning gari iache kula mafuta
Shukrani mkuuHizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.
Kiasi cha mafuta kinachoenda kwenye cylinders kupitia injectors huwa kinategemea data mbalimbali kutoka kwenye sensors.
Sasa sie wataalam tunajua kuisoma current situation ya gari na namna ya kuchokonoa ukaedit hizo data gari ikawa kama vile umefunga engine mpya. Hii sio michezo ya kila mtu kufanya, ni wataalam tu ndo wanaweza.
Ila mmbongo unamkuta na hilux yake inachechemea hadi huruma lkn hawezi kujipinda akatoa hela ngoma irekebishwe, maybe wengine ni kutokujua kama hio kitu ipo na inaweza kufanyika
Yes nimegundua big amount of money is needed wenzetu wana disposable income kwa ajili ya luxuries.Unayo $8000?, Maana sio kitu kidogo icho.
Aisee mkuu ni kweli namimi nimecheki huko hawa jamaa wako serious sana mzee yaani wanafanya vitu and make sure vinatoka perfect zaidi ya kiwanda. Nimependa seriousness, consistency, commitment na creativity yao kama tungefanya hata 50% of what they do tungekuwa mbali sana.Multi-skilled huwa naangalia hiyo channel ya DISCOVERY FAMILY 136 Kwa kifupi Sisi bado tupo Zama za mawe kabisaa!!!
Wale jamaa wanapimp magari Hadi manufacturer mwenyewe anasubiri
Tafuta vipindi vyao vingine vya IRON RESURRECTIONS, DRIVING WILD
Watalaamu wa customs na styling kwanini Tanzania bado tuko nyuma kwenye styling za magari? Daah nimependa sana kazi inayofanywa state na jamaa wanajiita TEXAS METAL na WEST COAST CUSTOMS ni next level aisee. Ningependa kupishana njiani na gati kama Harrier au Cruiser yenye styles na customs kama hizi below.View attachment 2570918View attachment 2570920View attachment 2570919View attachment 2570937
Kwa hio engine ikichoka mnaitune 🤔inakuwa mpyaHizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.
Kiasi cha mafuta kinachoenda kwenye cylinders kupitia injectors huwa kinategemea data mbalimbali kutoka kwenye sensors.
Sasa sie wataalam tunajua kuisoma current situation ya gari na namna ya kuchokonoa ukaedit hizo data gari ikawa kama vile umefunga engine mpya. Hii sio michezo ya kila mtu kufanya, ni wataalam tu ndo wanaweza.
Ila mmbongo unamkuta na hilux yake inachechemea hadi huruma lkn hawezi kujipinda akatoa hela ngoma irekebishwe, maybe wengine ni kutokujua kama hio kitu ipo na inaweza kufanyika
Swali la kipuuzi, anyway ngoja nijibu.Kwa hio engine ikichoka mnaitune 🤔inakuwa mpya
Nadhan kuna sababu kwanini watengeneza magari hawafanyi hivyo otherwise hao jamaa wangeajiriwa na viwanda vya magari wakafanye hayo.Aisee mkuu ni kweli namimi nimecheki huko hawa jamaa wako serious sana mzee yaani wanafanya vitu and make sure vinatoka perfect zaidi ya kiwanda. Nimependa seriousness, consistency, commitment na creativity yao kama tungefanya hata 50% of what they do tungekuwa mbali sana.
Nitafiatilia na hizo nyingine
Duuu!! Umeelewa mada kweli?Peleka gari yako huko Texas ili tupishane na wewe , kitu Kama unapenda nunua gari lako tengeneza liwe hivo
Mzee Hawa wamespecialize kwenye customs tu especially on old cars based on the customers's wants not necessary waajiriwe na viwanda sababu na wao pia ni viwanda, ni segment nyingine ya soko ambayo inampa mteja kuamua anataka gari yake iweje.Nadhan kuna sababu kwanini watengeneza magari hawafanyi hivyo otherwise hao jamaa wangeajiriwa na viwanda vya magari wakafanye hayo.
Hahahah daaah nilitaka kuuliza hili swaliDuuu!! Umeelewa mada kweli?
Yes ni kweli lakini naungana na mdau hapo juu kuhusu watu kuwa tayari kutoa kiwango cha pesa kwa ajili ya kazi hizo ni kweli inahitaji pesa, ni kitu unafanya for leisure na passion wabongo wengi hawapo hukoKazi za kibongo hazina uhakika wa ubora!
Tuning, Mapping, Pimping etc kwa huku kusini mwa Africa, pengine ni SA tu