Car styling, customs and replacements .

Car styling, customs and replacements .

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
909
Reaction score
3,476
Watalaamu wa customs na styling kwanini Tanzania bado tuko nyuma kwenye styling za magari? Daah nimependa sana kazi inayofanywa state na jamaa wanajiita TEXAS METAL na WEST COAST CUSTOMS ni next level aisee. Ningependa kupishana njiani na gati kama Harrier au Cruiser yenye styles na customs kama hizi below.View attachment 2570918
images%20-%202023-03-30T141724.016.jpg
View attachment 2570919
images%20-%202023-03-30T142449.122.jpg
 
Upgrades kama hizo zinategemea na mazingira, huku watu wameridhika na design inayokuja na gari.

Af kingine ubahili, mtu kutoa $2000 afanyiwe tuning tu gari iache kunywa mafuta na kuongeza nguvu anaona ni nyingi sana
 
Mkuu ongeza nyama hapo kwenye tuning gari iache kula mafuta
 
Hizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.

Kiasi cha mafuta kinachoenda kwenye cylinders kupitia injectors huwa kinategemea data mbalimbali kutoka kwenye sensors.

Sasa sie wataalam tunajua kuisoma current situation ya gari na namna ya kuchokonoa ukaedit hizo data gari ikawa kama vile umefunga engine mpya. Hii sio michezo ya kila mtu kufanya, ni wataalam tu ndo wanaweza.

Ila mmbongo unamkuta na hilux yake inachechemea hadi huruma lkn hawezi kujipinda akatoa hela ngoma irekebishwe, maybe wengine ni kutokujua kama hio kitu ipo na inaweza kufanyika
 
Shukrani mkuu
 
Multi-skilled huwa naangalia hiyo channel ya DISCOVERY FAMILY 136 Kwa kifupi Sisi bado tupo Zama za mawe kabisaa!!!
Wale jamaa wanapimp magari Hadi manufacturer mwenyewe anasubiri

Tafuta vipindi vyao vingine vya IRON RESURRECTIONS, DRIVING WILD
 
Aisee mkuu ni kweli namimi nimecheki huko hawa jamaa wako serious sana mzee yaani wanafanya vitu and make sure vinatoka perfect zaidi ya kiwanda. Nimependa seriousness, consistency, commitment na creativity yao kama tungefanya hata 50% of what they do tungekuwa mbali sana.

Nitafiatilia na hizo nyingine
 
Peleka gari yako huko Texas ili tupishane na wewe , kitu Kama unapenda nunua gari lako tengeneza liwe hivo
Watalaamu wa customs na styling kwanini Tanzania bado tuko nyuma kwenye styling za magari? Daah nimependa sana kazi inayofanywa state na jamaa wanajiita TEXAS METAL na WEST COAST CUSTOMS ni next level aisee. Ningependa kupishana njiani na gati kama Harrier au Cruiser yenye styles na customs kama hizi below.View attachment 2570918View attachment 2570920View attachment 2570919View attachment 2570937
 
Hizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.

Kiasi cha mafuta kinachoenda kwenye cylinders kupitia injectors huwa kinategemea data mbalimbali kutoka kwenye sensors.

Sasa sie wataalam tunajua kuisoma current situation ya gari na namna ya kuchokonoa ukaedit hizo data gari ikawa kama vile umefunga engine mpya. Hii sio michezo ya kila mtu kufanya, ni wataalam tu ndo wanaweza.

Ila mmbongo unamkuta na hilux yake inachechemea hadi huruma lkn hawezi kujipinda akatoa hela ngoma irekebishwe, maybe wengine ni kutokujua kama hio kitu ipo na inaweza kufanyika
Kwa hio engine ikichoka mnaitune 🤔inakuwa mpya
 
Swali la kipuuzi, anyway ngoja nijibu.

Kwanza nimesema una-tune gari sio engine.

Gari kwa ujumla wake inawezakuja na vitu vingi ukiachana na engine, na hivyo vitu vina-affect ufanyaji kazi wa engine pamoja na ulaji wa mafuta kwa njia moja ama nyingine.

Mfano chukulia gari iliokuja na Diesel Particulate Filter - DPF kutoka kiwandani, wengi huwa zinawasumbua so wanaamua kutoa hio DPF, ila ukishatoa baadhi ya gari hupunguza nguvu au kuwa kwenye Limp mode. Hapo ndipo inabidi upate tuner akufanyie kazi ya kuitoa effect ya DPF kwenye control unit ya gari, then gari inarudisha nguvu kama kawaida.
 
Aisee mkuu ni kweli namimi nimecheki huko hawa jamaa wako serious sana mzee yaani wanafanya vitu and make sure vinatoka perfect zaidi ya kiwanda. Nimependa seriousness, consistency, commitment na creativity yao kama tungefanya hata 50% of what they do tungekuwa mbali sana.

Nitafiatilia na hizo nyingine
Nadhan kuna sababu kwanini watengeneza magari hawafanyi hivyo otherwise hao jamaa wangeajiriwa na viwanda vya magari wakafanye hayo.
 
Kazi za kibongo hazina uhakika wa ubora!

Tuning, Mapping, Pimping etc kwa huku kusini mwa Africa, pengine ni SA tu
 
Mzee Hawa wamespecialize kwenye customs tu especially on old cars based on the customers's wants not necessary waajiriwe na viwanda sababu na wao pia ni viwanda, ni segment nyingine ya soko ambayo inampa mteja kuamua anataka gari yake iweje.
images%20-%202023-03-30T171303.348.jpg
 
Kazi za kibongo hazina uhakika wa ubora!

Tuning, Mapping, Pimping etc kwa huku kusini mwa Africa, pengine ni SA tu
Yes ni kweli lakini naungana na mdau hapo juu kuhusu watu kuwa tayari kutoa kiwango cha pesa kwa ajili ya kazi hizo ni kweli inahitaji pesa, ni kitu unafanya for leisure na passion wabongo wengi hawapo huko
 
Back
Top Bottom