Car tuning in Dar es salaam

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari wadau,

Nimekuwa natafuta watu ambao wanaweza kufanya car tuning Dar es salaam. Nina lexus is200 yangu nimekuwa nawaza kufanya upgrade, nibadili machine niweke nyengine kisha nifunge turbo. kama kuna mtu anawajua anaielekeze anipe info, na links za social page zao au kama wana website ili nifanye research zaid.

Ahsanteni
 
Nenda CMC au CFAO motors . CFAO Motors wako pale kwenye Petro station ya mlimani city
 
Lexus ni Toyota. Nenda Toyota Tanzania Ltd Pugu rd. CMC wao wanashughulika na Landrover na Nissan
Correct CMC wanashughulika na Landlover na Nissan lakin pia authorised dealer katika kushughulikia matatizo ya toyota.
 
wakuu sijui mmenielewa? sitafuti sehemu ambayo ni for repairs ama looking for spares, natafuta sehemu ambayo wanafanya engine modification, kama ECU Tuning, getting more power from the engine by installing turbo and tuning the engine to handle the stresses
 
mkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning.
 
mkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning.
Is200 inafanyika tuning tatizo its not worth, pesa nyingi ntatumia ku turbocharge na kuset up everything for around 240hp tu wakati naweza tafuta engine kwa lower price ambayo ingenipa same power or hata zaidi
 
Kwa barabara zipi utakua unapita baada ya kufanya tunning?, huko highway yamejaa matochi kibao, but kipenda roho kula nyama mbichi, hailipi aisee!!
 
Kwa barabara zipi utakua unapita baada ya kufanya tunning?, huko highway yamejaa matochi kibao, but kipenda roho kula nyama mbichi, hailipi aisee!!
mkuu kipendacho roho kweli..... Huku kwetu kisiwani tochi iko moja tu kisiwa kizima, na barabara zipo mbona za kukamua mpaka 180+ :-D
 
Kwa barabara zipi utakua unapita baada ya kufanya tunning?, huko highway yamejaa matochi kibao, but kipenda roho kula nyama mbichi, hailipi aisee!!
mkuu tatizo hufaham faida nyinginezo zitokanazo na car tunning ni zaidi na mbio kama mnavyofikilia wengi faida nyingine kubwa nikupunguza uraji wa mafuta
 
mkuu kwa bongo huwezi pata fundi wakukufanyia ecu remmaping sana sana chip tuning kwa mbaliii wapo. ecu tunning ni garama sana kununua vitendea kazi vyake na mbaya zaidi magari ya asia like toyota ni ngum sana kufanyia tunning sio kama gari za europe vifaa vya kufanyia tunning ni vingi sana KESS,Ktag, n.k
 

Sisi ofisini kwetu tunafanya ecu remmaping and tunning vile vile tunaweka dpf off na adblue off,ila tumespecialize kwenye european cars tu...na tools kama fg tech galetto,kess na zinginezo tunazo,tunafanya kwa bench na obd pia
 
fundibenz, wapi mnapatikana? Nataka kufanya chip tuning, dte system au bsr mnazo?
Sisi ofisini kwetu tunafanya ecu remmaping and tunning vile vile tunaweka dpf off na adblue off,ila tumespecialize kwenye european cars tu...na tools kama fg tech galetto,kess na zinginezo tunazo,tunafanya kwa bench na obd
 
mzee LEGE chip tuning unafanya? Unapatikana wapi?
 
Watafute hawa jamaa wanaitwa Gear Tech Performance wako Kijitonyama, wako vizuri sana hawa jamaa ni mapacha wa kifilipino hao wanaosema Dar hakuna watu wanaofanya mapping ni waongo sbb performance car nyingi zinazoendaga kufanya race Nairobi zinapitia kwao na nilishaenda na jamaa yangu kupeleka Alteza yake alibadilisha injini ya 3s akafunga injini ya 1jzgte na vifaa vyote walivyomfungia walimuagizishia Japan na mimi nikiwa shahidi, ila kàa tayari kuumiza mfuko wako kama unataka kitu kizuri
 
Hata mimi nashangaa kuona kuna watu wanasema hakuna ECU remapping TZ wakati GTPtz wanafanya hio kazi vizuri tu.
 
Altezza ile DKP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…