Card B afunguka juu ya penzi lake na golikipa wa Nigeria Maduka

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Rapa wa Marekani Cardi B amefanya mahojiano na jaria la Vogue Arabia na kuulizwa kuhusu mchezaji golikipa wa Nigeria, Maduka Okoye, ambaye alionekana naye kwenye onesho la mavazi la Jean Paul Gaultier (Paris Fashion Week) mwezi Julai, kisha tena katika hoteli ya The St. Regis Venice takriban wiki mbili baadaye, Cardi amesema;

“Maduka alikuwa mpole sana, ukimwona kwenye mitandao ya kijamii anaonekana kuwa mkali na mwenye msimamo, lakini ni mkarimu sana,” amesema Cardi.

Alipoulizwa kama tutegemee kuwaona zaidi mkiwa pamoja, Cardi alijibu, “Natumai hivyo.”

Tetesi kuhusu wawili hao zilianza kuvuma miezi kadhaa baada ya Rapa huyo mshindi wa tuzo ya Grammy kuripotiwa kuachana na Stefon Diggs, ambaye ndiye baba wa mtoto wake wa mwisho (kwa sasa) katika watoto wake wanne.

card b.png
 
View attachment 3658617
Card B hawajui vizuri WAPOPO ,ataacha ndala.
 
Mzee wa kino umenichekesha sana
Kwanini mkuu!maana sijawahi jua,au kuona mziki
Yake
Inawezekana labda jnsi tulivyo wengine syo wafuatiliaji
Bado tushawazoea wakina qeen Latifah,Mc light, bahamadia ,lady of rage nk
Wengine bado tumebakia old school
Maana kwa sasa hata wanachoimba hakieleweki
Mimi ni mpenzi sana wa reggae na hip-hop ile real lakini

Ova
 
Ushazeeka mzee wa kino,huyo msanii wa hivi karibuni tu ana miaka kama kumi na hivi, ushazeeka mzee wa kino tupe tu vijana connections za majuu tutimbe huko
 
Back
Top Bottom