Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Wabongo tuna roho mbofu sana.Nimecheka sana! Wabongo kikubwa tuteseke wote😂
Wabongo tuna roho mbofu sana.Nimecheka sana! Wabongo kikubwa tuteseke wote😂
Tunasheherekea tu maanguko, mazuri hatutaki kusikia ni mwendo wa kuponda tu!Wabongo tuna roho mbofu sana.
Wala hatusubiri mtu apande juu ndipo tumngoje chini ama tumfuate bali akiwa anapanda juu sisi tunamvuta miguu.Tunasheherekea tu maanguko, mazuri hatutaki kusikia ni mwendo wa kuponda tu!
Mpaka tumchanie nguo🤣Wala hatusubiri mtu apande juu ndipo tumngoje chini ama tumfuate bali akiwa anapanda juu sisi tunamvuta miguu.
Well said! Asipofunga mkanda wa kiunoni vyema, basi anavuliwa kisurualia chake na hata kubaki kama alivyokuja duniani.Mpaka tumchanie nguo🤣
Viungo vyake visiguswe tu tafadhali😅Well said! Asipofunga mkanda wa kiunoni vyema, basi anavuliwa kisurualia chake na hata kubaki kama alivyokuja duniani.
Viungo gani?😆Viungo vyake visiguswe tu tafadhali😅
Nyeti🤸🏽♀️Viungo gani?😆
miondoko ya kufokaalikuwa stripper baade kaingia kwenye Rap hizi za AI
Hapana hapana. Wewe watosha!Nyeti🤸🏽♀️
Sawa sawa ba mjengoHapana hapana. Wewe watosha!
Nyeti zao hazitanivutia kamwe.
Nimesikia raha tupu. Wale vikaragosi walionifungia ID kisa wewe watateseka sana 😎Sawa sawa ba mjengo
Kwani walikuwa wanakutaka?🤣Nimesikia raha tupu. Wale vikaragosi walionifungia ID kisa wewe watateseka sana 😎
Nyambafu zao!
La hasha! Walikuwa wanakutaka wawe. Mimi nimekuwa kigingi kikali kwao 😎Kwani walikuwa wanakutaka?🤣
Si wafunguke! Wananitaka kimoyomoyo🤣La hasha! Walikuwa wanakutaka wawe. Mimi nimekuwa kigingi kikali kwao 😎
Wanamfahamu fika kabisa kuwa ndege mdinya atawafanya kile kilichomnyima kuku mkojo 😎Si wafunguke! Wananitaka kimoyomoyo🤣
Hivi kumbe kuku hakojoi🤔Wanamfahamu fika kabisa kuwa ndege mdinya atawafanya kile kilichomnyima kuku mkojo 😎
Sidhani 😀Hivi kumbe kuku hakojoi🤔