Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Card B hawajui vizuri WAPOPO ,ataacha ndala.Rapa wa Marekani Cardi B amefanya mahojiano na jaria la Vogue Arabia na kuulizwa kuhusu mchezaji golikipa wa Nigeria, Maduka Okoye, ambaye alionekana naye kwenye onesho la mavazi la Jean Paul Gaultier (Paris Fashion Week) mwezi Julai, kisha tena katika hoteli ya The St. Regis Venice takriban wiki mbili baadaye, Cardi amesema;
“Maduka alikuwa mpole sana, ukimwona kwenye mitandao ya kijamii anaonekana kuwa mkali na mwenye msimamo, lakini ni mkarimu sana,” amesema Cardi.
Alipoulizwa kama tutegemee kuwaona zaidi mkiwa pamoja, Cardi alijibu, “Natumai hivyo.”
Tetesi kuhusu wawili hao zilianza kuvuma miezi kadhaa baada ya Rapa huyo mshindi wa tuzo ya Grammy kuripotiwa kuachana na Stefon Diggs, ambaye ndiye baba wa mtoto wake wa mwisho (kwa sasa) katika watoto wake wanne.
View attachment 3658617
alikuwa stripper baade kaingia kwenye Rap hizi za AIHuyu anaimba mziki gani ???
Ova
Mzee wa kino umenichekesha sanaHuyu anaimba mziki gani ???
Ova
Kwanini mkuu!maana sijawahi jua,au kuona mzikiMzee wa kino umenichekesha sana
Ushazeeka mzee wa kino,huyo msanii wa hivi karibuni tu ana miaka kama kumi na hivi, ushazeeka mzee wa kino tupe tu vijana connections za majuu tutimbe hukoKwanini mkuu!maana sijawahi jua,au kuona mziki
Yake
Inawezekana labda jnsi tulivyo wengine syo wafuatiliaji
Bado tushawazoea wakina qeen Latifah,Mc light, bahamadia ,lady of rage nk
Wengine bado tumebakia old school
Maana kwa sasa hata wanachoimba hakieleweki
Mimi ni mpenzi sana wa reggae na hip-hop ile real lakini
Ova
Amulize JuxCard B hawajui vizuri WAPOPO ,ataacha ndala.
Trapalikuwa stripper baade kaingia kwenye Rap hizi za AI
Nigeria kuna wajaluo?Ana mpenzi mjaluo bwana Maduka.Ngoja wamchezee ngonjera.Asilie sana in advance.
Jina Maduka limefanana na la wajaluo.Nigeria kuna wajaluo?
Katika novel ya things fall apart Mtoto wa Obierika anaitwa madukaJina Maduka limefanana na la wajaluo.
Na wajaluo wanalo.Katika novel ya things fall apart Mtoto wa Obierika anaitwa maduka
Anacheza sindimba.Huyu anaimba mziki gani ???
Ova
Nimecheka sana! Wabongo kikubwa tuteseke wote😂Anacheza sindimba.