Cardiac arrest(Ugonjwa wa raila) ni nini? na unasababishwa na nini

Cardiac arrest(Ugonjwa wa raila) ni nini? na unasababishwa na nini

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Kwa ufupi sana ni kusimama kwa ghafla kwa moyo" au "shtuko la moyo". Hali hii hatari hutokea wakati moyo unapoacha kufanya kazi ghafla na bila kutarajiwa, na kusababisha mtiririko wa damu kwenye ubongo na viungo vingine muhimu kukatika. Ikiwa haitatibiwa haraka, inaweza kusababisha kifo ndani ya dakika chache

Kisababishi kikubwa ni Tatizo la umeme wa moyo (Arrhythmia): Hii ndio sababu kuu ya moja kwa moja. Mawimbi ya umeme yanayodhibiti mpigo wa moyo yanapoharibika, moyo huanza kutetemeka badala ya kusukuma damu.

Japokua umri pia huchangia lakini tatizo kubwa linalochangia kufika uku ni uimara wa moyo wenyewe haswa kwa watu ambao hawafanyi mazoezi mara kwa mara, moyo hua dhaifu! Kama kijana tunaendelea kusisitiza umuhimu wa mazoezi

 
Back
Top Bottom